900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 5,587
- 5,894
hii ya maji nimeipenda me huwa c achagi kuingia na maji chumbani kwenye ndoo na beseni kwa ajili ya kunyanduana na waifu usiku,kumbe napiga two ina one bila kujua aisee ntaendelea kuiboresha zaidiKupitia huu uzi na wachangiaji wa mada wanavyodadavu wengine tunajifunza jinsi ya kujihami na wezi. Kwa mfano, mimi nimejifunza mbinu ya kuacha maji wazi ili kujihami na wezi wanaotumia Kloroform wengine tulikuwa hatuijui.