Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Hawa ndo wa kazi wa dar wanajadili kwenye mitandao tu
please usituharibie mada eee , kama huna cha kuchangia nenda jukwaa la cellebrity kuna mada ya zari Na mange
Tangia niibiwe siku hiyo kila siku nalala na maji chumbani katika beseni na pia tv yangu nakuwa nayo karibu na kitanda na mlango wa chumbani napanga viti kwa nyuma
mkuu unalala umeikumbatia

Imagine unakumbatia Tv nchi 48



Hahahahhaah
 
Mim tarehe 31/12/2015 majira kati ya saa 8 ucku hadi saa 10 ucku, niliibiwa TV Samsung mpya flat 32inch nilinunua jiwe 850,000. Laptob, Samsung DVD Deck, pesa wamenipulizia dawa yao hiyo
 
hebu vuta picha sasa wameikuta haina upepo wakaenda kutafuta pamp na usiku ni nadra kila mtu kuwa nayo tuseme walitumia masaa 2 kupata pump haya na mafuta kila Petrol station imefungwa wakaenda kwenye pikipiki nyingine wakanyonya zoezi zima masaa kama 5 hivi .


Hawa watu wana moyo na ujasiri.
 
Jamaa Wanajiamini sana, ila kunamkasa nitauleta wa mwenzao aloingia chakike akadakwa kizembe...
 
umenikumbusha mwaka 2009 tuliibiwa vitu vyote mpaka nguo zilizotundikwa nyuma ya mlqngo nass tumelala humohumo ndani sikujua mpaka leo walitumia dawa gani kali kiasi kile.... lol
mshikaji wangu walmuibia adi nguo alokuw kavaa akati analala, asubui anashangaa geto kavu afu pamba alotupia kbla ya kulala zmebebw, unaambwa mpaka boksa walmbebea et, kibaya zaidi wakampaka whitedent kwe mtalo wa makalio, looh!
 
Mwaka jana hawa jamaa wamefeli kwangu,walikuja wakapga dawa wakafungua mlango wacha waanze kusanya vitu ile wanataka kuchukua simu chini ya mto nilistuka wametoka mbio wote na vitu vyao wameviacha sebuleni wakaenda mikono mitupu
 

Mkuu Chloroform ni denser kuliko maji uki-mix chloroform itakwenda chini na maji kuja juu hivyo chloroform aitapenya kuja juu na ku-sedate panya.
 
Weka maji karibu na dirisha wakipuliza imekula kwao
 
Mkuu Chloroform ni denser kuliko maji uki-mix chloroform itakwenda chini na maji kuja juu hivyo chloroform aitapenya kuja juu na ku-sedate panya.
Okay, nilitaka apulize tu hiyo chloroform kukiwa na maji around ili tuone kama mnyama atasedate au la kwani hizi pande in case you leave any open container with H-O-H in the house especially nearby your bedroom, the medicine used by those hooligans won't function.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…