Ni dakika 5 za Lowassa

Mambo ya kitoto mtoto kumwambia mtoto mwenzie tunasema watoto wanacheza,lakini mambo ya kitoto mkubwa kumwambia mkubwa mwenzie hapo kuna shida.
Hoja za kitoto waambie watoto wenzio tujue mnacheza.
 

Tutamchagua tu hata angekuwa fisadi au bubu lengo ni kuiua ccm mengine mbele Kwa mbele. Alete maendeleo au laa tutamchagua hivyo hivyo. Mnajisumbua bure.
 
Propaganda zimewaishia? Mbona ndani ya siku moja unaleta copy n paste ya alichopost Chilisosi,umebadili heading tu,poleni!
 
Last edited by a moderator:
Sisi tutamchagua huyo huyo Edward,ana kura yangu 25. Octoba
 
Mtatokwa sana na mapovu bavicha this time na ukizingatia hamna ajira,shida tupu afadhali bodaboda waliojiajili
 
Poleni sana bodaboda,mtaisoma namba mwezi ujao
 
Magamba yanalia kinyamaa aseee duuu hata hayakumbuki Magufuli yupo wap yanakaa kumuongelea MR president
 
Alafu hawa wanopiga domu humu ni vibaraka wa hapo lumumba ndo kazi waliopewa na wanalipwa posho ila kwa taarifa waniulize mie ambaye nishashiriki baadhi ya shuguli za ccm wakati nikiwa gamba kwa taarifa fupi tuu wanachama wenye kadi zaidi ya 40% hawampendi magufuli wanaenda kwenye mikutano tuu kutimiza wajibu na wooga ila wengi moyoni ni lowasa na ndiye walitegemea atapitishwa, hiki kilichotokea kukata jina lake ni kwa maslahi ya wakubwa tuu ila kwa hawa wa chini wanalalamika mpaka kesho moyoni, ITAWAGARIMU SANA MWAKA HUU, bora mimi nilijitoa mapema
 
Ahahahaaa Lowasa msanii yule anawafanya watanzania malofa hatumpi kura kwanza mtu mwenye mgonjwa
 
Fisadi papa hyo hana uwezo wa kutamka rushwa
 
Kuna uwezekano mkubwa fisadi kushitakiwa nwezi ujao
 

Umelalamika sana sana sana sana sana sana sio bure kakugongea mkeo ungesema wazi tungekusaidia umezunguuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…