Ni dakika 5 za Lowassa

Ni dakika 5 za Lowassa

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Naomba muelewe kitu kimoja. Lowassa sio mgonjwa.

Lowassa ni mzima sana, na huu ugonjwa anautumia kama kisingizio ili asihutubie muda mrefu jukwaani.

Lowassa kama angekua hajiwezi asingepanda jukwaani halafu ahutubie dakika tatu dodoma

Lowassa kama angekua mgonjwa asingehutubia dakika saba tu kwenye siku yake kubwa ya ufunguzi

Lowassa haumwi ila anasingizia ugonjwa ili asihutubie muda mrefu kwa sababu zifuatazo:

Hawezi kumbuka kitu cha kutuambia

Hawezi kemea ufisadi
Hawezi kemea rushwa
Hawezi kemea ugaidi
Hawezi kemea uhalifu
Hawezi jua ilani ya chama
Hawezi sema ataukuzaje uchumi
Hawezi jitetea tuhuma zinazomkabili
Hawezi jibu mashambulizi
Hawezi kataa kua yeye ni fisadi papa
Hawezi sema kapataje mali zake
Hawezi sema ukweli
Hawezi penda masikini
Hawezi poteza sauti yake kujieleza kwa mafala
Hawezi sema kwa nini lazima awe Rais
Hawezi nyooshea kidole mafisadi wenzake
Hawezi sema atafanyaje kazi
Hawezi sema kalifanyia nini taifa
Hawezi sema Zero ni Zero
Hawezi kumbuka jina la mke wake

Yaani wewe na akili zako, mtu anakuja kukuoba kazi halafu kwenye interview anaona uvivu kujieleza kwako anakuambia kasome website halafu unamkubali?

Lowassa katudharau sana watanzania, ametuona mafala ndio maana hana ha time ya kuongea na sisi

Katuona kama watoto wadogo kutupa pipi na kutuahidi baiskeli mpya

Amka mtanzania ujitambue

Tunahitaji mtu atakaetuambia yeye mwenyewe kwa kinywa chake kwa nini tumchague

Ukawa wanatuletea sinema ya kihindi
 
Eeh kwel mmechanganyikiwa lowasa ni rais na itabaki kuwa ivyoo najua ni ngumu kumesa kwa ccm ila mtameza tu
 
poleni sana makada,inauma ila ndio hali halisi,hakuna namna sasa,acha lowasa awe rais tu!...hakuna namna sasa.
 
Naomba muelewe kitu kimoja. Lowassa sio mgonjwa.

Lowassa ni mzima sana, na huu ugonjwa anautumia kama kisingizio ili asihutubie muda mrefu jukwaani.

Lowassa kama angekua hajiwezi asingepanda jukwaani halafu ahutubie dakika tatu dodoma

Lowassa kama angekua mgonjwa asingehutubia dakika saba tu kwenye siku yake kubwa ya ufunguzi

Lowassa haumwi ila anasingizia ugonjwa ili asihutubie muda mrefu kwa sababu zifuatazo:

Hawezi kumbuka kitu cha kutuambia

Hawezi kemea ufisadi
Hawezi kemea rushwa
Hawezi kemea ugaidi
Hawezi kemea uhalifu
Hawezi jua ilani ya chama
Hawezi sema ataukuzaje uchumi
Hawezi jitetea tuhuma zinazomkabili
Hawezi jibu mashambulizi
Hawezi kataa kua yeye ni fisadi papa
Hawezi sema kapataje mali zake
Hawezi sema ukweli
Hawezi penda masikini
Hawezi poteza sauti yake kujieleza kwa mafala
Hawezi sema kwa nini lazima awe Rais
Hawezi nyooshea kidole mafisadi wenzake
Hawezi sema atafanyaje kazi
Hawezi sema kalifanyia nini taifa
Hawezi sema Zero ni Zero
Hawezi kumbuka jina la mke wake

Yaani wewe na akili zako, mtu anakuja kukuoba kazi halafu kwenye interview anaona uvivu kujieleza kwako anakuambia kasome website halafu unamkubali?

Lowassa katudharau sana watanzania, ametuona mafala ndio maana hana ha time ya kuongea na sisi

Katuona kama watoto wadogo kutupa pipi na kutuahidi baiskeli mpya

Amka mtanzania ujitambue

Tunahitaji mtu atakaetuambia yeye mwenyewe kwa kinywa chake kwa nini tumchague

Ukawa wanatuletea sinema ya kihindi

Rubish
 
Hivi na wewe ni GT?
 
Mbona wenye vifafa wameweza ikawa lowasa yan hata msemeji lowasa ndo rais wetu
 
Nani mwizi kuliko mamlaka ya juu? Sisi wataka mabadiliko tunamuelewa sana tu, porojo na propaganda nyepesi za mafisisiem tumewaachia ninyi miccm.
 
Attachments

  • 1442059028152.jpg
    1442059028152.jpg
    30.7 KB · Views: 984
Teh teh teh teh teh.....

Kweli mwaka huu Lowassa amewakamata pabaya CCM.

Moja haikai, mbili haikai, mara mtuambie Lowassa Mgonjwa, mara mnakuja kukanusha wenyewe!

Sisi wananchi yote hayo hayatuhusu. Tunachojua ni Lowassa 2015. Huyu ndiye Rais wetu. Hata mseme nini lazima tumchague.!!!
 
Back
Top Bottom