Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 949
- 2,247
Tecno sijawai elewa hio watauza vingunguti macho mat
Saizi Tecno imekua maalumu kwa watu wa uchumi wa chiniTecno sijawai elewa hio watauza vingunguti macho matat
Ndio na wao wasiachwe nyuma na duniaSaizi Tecno imekua maalumu kwa watu wa uchumi wa chini
Muhimu kuwa onlineTECNO NAZO NI SIMU😁😁😁
Sisi tunachoma mahindi Kariakoo, muda wa kuumiza kichwa tunatoa wapi?Tech word! Tecno spark 40 iliyozinduliwa June 2025 Ina muonekano (Extnl) sawa na iPhone 17 itakayo toka sep 2025!
Je Nani kafanya copy and paste???
Tecno si ameshatoa wenyewe bado!Kwamba Apple wamuige Tecno.