Yatupasa tukubali nchi ilikuwa imeharibika, gap kati ya walionacho na wasiokuwanacho lilikuwa linazidi kuwa kubwa, watu walikuwa wanajimilikisha na kula hela ya wananchi kadri wapendavyo, binafsi naona hali ni kawaida sema wanaolialia ni wale waliozoea kupata hela ya bure bila jasho sasa mfano mtu yule aliyekuwa anapokea mishahara ya watu 15 lazima alalamike, tuweni na subira time will tell wale waliokuwa wanakula hela za wananchi tutawajua na mambo naamin yatakuwa poa taratibu.
N.B hata roma haikujengwa kwa siku moja