Ni bora ukimwi kuliko kisukari wafikirifu watanielewa tu(mlinganisho wa Serikali)

chuuma

JF-Expert Member
May 19, 2015
363
557
Wengi wanasema n bora ukimwi kuliko kisukari nami sina budi kusema ni bora JK kuliko JPM maana hali ya kimaisha ya sasa ni ngumu mara 100 zaidi ya awamu ya nne
Kilawa the Iron
 
Ungeweka mifano unayopitia sasa na ilikuwaje wakati wa JK

Bila kusahau kusema income yako ya sasa na kanla pia na sosi ulizipataje

Bila hivyo nyooka tu, mlizoea
 
Ungeweka mifano unayopitia sasa na ilikuwaje wakati wa JK

Bila kusahau kusema income yako ya sasa na kanla pia na sosi ulizipataje

Bila hivyo nyooka tu, mlizoea

nadhani ww pia ni shahidi
 
Duu maisha yamekuwa magumu ile ile,nashudia madogo kadhaa wakikosa uelekeo kutokana na matokeo ya jana.brothers and sisters wanasema hali ni ngumu,wao wenyewe wanakosa akiba,msaada watatoaje
 
Kwa upande wa demokrasia nakubaliana na wewe kuwa JK alikuwa na hekima na busara zaidi ya mwenzake lakini kwa upande wa mafisadi namuunga mkono JPM kwa 100%
 
Wenye akili tunajua nn kiliwafanya mpate kiwepesı na ni ingekuwa atharı zake kwa taifa kwa muda mfupi.
 
Yatupasa tukubali nchi ilikuwa imeharibika, gap kati ya walionacho na wasiokuwanacho lilikuwa linazidi kuwa kubwa, watu walikuwa wanajimilikisha na kula hela ya wananchi kadri wapendavyo, binafsi naona hali ni kawaida sema wanaolialia ni wale waliozoea kupata hela ya bure bila jasho sasa mfano mtu yule aliyekuwa anapokea mishahara ya watu 15 lazima alalamike, tuweni na subira time will tell wale waliokuwa wanakula hela za wananchi tutawajua na mambo naamin yatakuwa poa taratibu.
N.B hata roma haikujengwa kwa siku moja
 
Back
Top Bottom