Ni bora kuwa kicheche kuliko yanayonitokea

Kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka inuka vumilia
 
Mkuu hata hili nalo la kuomba ushauri?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani amekuona "buzitata" kama jina lako Mkuu!
 
Mkuu usipoteze muda kwa wanawake cha msingi we zaa kusanya watoto wako kama kimi leo na somesha utapoteza muda na rasilimali ulizonazo
Wanawake walikuwa mama zetu hawa dawa yao ni kutafuna kesho achana nae cha msingi hakikisha unatumia condom mkuu!
 
Naomba nikupm kwa shida binafsi. Ukiniruhusu hapa ndo ntakuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU,

UMEJARIBU KUMSHIRIKISHA PROFESA LIPUMBA UKASIKIA MCHANGO JUU YA HILI LABDA ?

TUANZIA HAPO KWANZA.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 

Rudi tuu kaka kwenye ubora wako bwana. Wee bwana miezi sita upo bahari watu wanajigegedea tuu huku wala usijipe tabu wee gegeda papuchi huko
 
Mkuu usipoteze muda kwa wanawake cha msingi we zaa kusanya watoto wako kama kimi leo na somesha utapoteza muda na rasilimali ulizonazo
Wanawake walikuwa mama zetu hawa dawa yao ni kutafuna kesho achana nae cha msingi hakikisha unatumia condom mkuu!
Duuh sasa atapataje watoto hao kumi kutumia condom?
 
Mkuu usipoteze muda kwa wanawake cha msingi we zaa kusanya watoto wako kama kimi leo na somesha utapoteza muda na rasilimali ulizonazo
Wanawake walikuwa mama zetu hawa dawa yao ni kutafuna kesho achana nae cha msingi hakikisha unatumia condom mkuu!
Sasa akitumia condom atatiaje na umemwambia azae akusanye watoto [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda simu yake ilikwisha charge! Ata kuwa na simu kimeo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…