titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,572
- 9,764
Watu tunakula ugali mkubwa alafu mboga ugali mdogo,sembuse kabichiwatu tunakula ugali na picha ya samaki, sembuse kabichi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tunakula ugali mkubwa alafu mboga ugali mdogo,sembuse kabichiwatu tunakula ugali na picha ya samaki, sembuse kabichi
daaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.
Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.
maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi
wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??
ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko
This Time Tomorrow
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,
Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugali kitu kinaenda.
Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?
Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.
Ugali na uji wa chumvi je?Watu Tunakula Ugali Na Karanga, Sembuse Ugali Na Kabeji!
Kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe....kabichi rafiki mkubwa kwangu kozi alinitoa kutoka kwenye kilo sabini na upuuzi Had kunileta kwenye kilo hamsini na chache pasipo zoezi tena kwa kunipunguzia kilo nne au tano kila week ....apo sijasahau radha yake ikiliwa na wali... unapoiponda sikuelewi..
Haha juzi kati nilikuwa kijiweni kubishana katika hili la kabichi, binafsi kabichi siikubali kabsa iwe na ugali hata na wali....Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,