Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
- Thread starter
- #301
Umesema kweli boss kabichi ni kachumbali tuKabichi sio mboga, ila ni kiungo cha mboga. Sema utamaduni wetu wa lishe ndio tatizo. Hivi ulishawahi kupata utumbo rost iliyochanganywa na viungo kama vyoooteeee, mixer na kabichi kiasi?..........hapo ndio utaamini niliyoyasema kwenye aya ya kwanza hapo juu.