Ni benki gani nzuri kwa kufungulia Account?

Ni benki gani nzuri kwa kufungulia Account?

Equity wako poa una fungua acc na kadi una pewa siku iyo iyo co crdb una ambiwa kadi uifate baada ya 10 days
iyo benki ndio inaanza wala usipagawe na ofa zao
 
Kati ya Equity na CRDB ipi iko poa zaidi
zote ziko poa ila crdb imesambaa nchi nzima, Equity wako mikoa mitano tu.
Wote wako vizuri kwa huduma. Natumia CRDB na Equity kwa pamoja
 
ANGALIA ILIYO JIRAN OFC YENYE MATAWI MENGI NASHAURI CRDB MANA KUNA ILE FULAN MWISHO WA MWEZ FOLENI YAKE YAKE ATM SOO POA
 
Back
Top Bottom