Labda upande basi la Mwanza-Mtwara kama lipo.Hello wakuu
nahitaji msaada niko Kanda ya ziwa huku wiki ijayo natoka huku kwenda Dar lengo nifike huko kusini na kama mnavyojua Gari toka kanda ya ziwa hufika Dar usiku sana namimi nataka kesho yake nifike Kusini je kuna basi hufika huko Mbagala moja kwa moja likishashusha Mbezi Luis, au nitumie njia ipi Rahisi zaidi kufika huko Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Newala!?
Duuh siku ngapi Mwanza-Mtwara?Lipo BM Coach Mwanza via DSM to Masasi na Huna haja ya kushukia Mbezi tena!
Katarama umeme mwingiii ipo Dar saa mbili au tatu hiyo mida mingine ni makorokoroShekilango utafika usiku saa sita au tano, pitiliza Mbagala utafika saa saba.
Hapo hakuna haja ya kulala gest, ingia bar agiza maji ya buku unatoboa nayo hadi asubuhi na ndio utapigia mswaki saa kumi na moja wakati unatafuta BUTI LA ZUNGU.
Ushauri huu unamfaa msela tu.
Hiyo Katarama nasikia ana scania 2 tu ila anawapa changamoto sana wakongwe Ally's.Katarama umeme mwingiii ipo Dar saa mbili au tatu hiyo mida mingine ni makorokoro
huyu mchina kamaliza kila kitu sina cha kujaziaShekilango utafika usiku saa sita au tano, pitiliza Mbagala utafika saa saba.
Hapo hakuna haja ya kulala gest, ingia bar agiza maji ya buku unatoboa nayo hadi asubuhi na ndio utapigia mswaki saa kumi na moja wakati unatafuta BUTI LA ZUNGU.
Ushauri huu unamfaa msela tu.
Hiyo Katarama nasikia ana scania 2 tu ila anawapa changamoto sana wakongwe Ally's.
Ah sio kweli ..bado Winchester ana sumbuaHiyo Katarama nasikia ana scania 2 tu ila anawapa changamoto sana wakongwe Ally's.
Isipende kupanda kampuni yenye mabasi machache.Katarama umeme mwingiii ipo Dar saa mbili au tatu hiyo mida mingine ni makorokoro
Kuna allys inaenda kigamboni... sijajua kama Kuna basi lingine la kufika Hadi mbagalaHello wakuu,
Nahitaji msaada, niko Kanda ya ziwa huku wiki ijayo natoka huku kwenda Dar lengo nifike huko kusini na kama mnavyojua Gari toka kanda ya ziwa hufika Dar usiku sana namimi nataka kesho yake nifike Kusini.
Je, kuna basi hufika huko Mbagala moja kwa moja likishashusha Mbezi Luis, au nitumie njia ipi rahisi zaidi kufika huko Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Newala?
Inashusha Kigamboni sehemu gani kaka hii itanifaa sana aisee,,Kuna allys inaenda kigamboni... sijajua kama Kuna basi lingine la kufika Hadi mbagala
umechoka sana mkuu🤣🤣Huna maoni mkuu!??
Na bar husika ni masakuu mbagalaShekilango utafika usiku saa sita au tano, pitiliza Mbagala utafika saa saba.
Hapo hakuna haja ya kulala gest, ingia bar agiza maji ya buku unatoboa nayo hadi asubuhi na ndio utapigia mswaki saa kumi na moja wakati unatafuta BUTI LA ZUNGU.
Ushauri huu unamfaa msela tu.