Ni AVATAR gani inakupendezea

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
913
Avatar hizi zimekamilika kwenye fani..

1. Hossam

jamaa ameifurisha baiskeli yake na ndizi-sijui mchaga huyo, kisha anaikokota kwa mikogo..asee

2. Rev sr Masanilo
View attachment 38825
Prefix ya jina lake ni Rev, nadhani akimanisha reveland.. ila picha ina kizee kimoja cha bush kilchokunywa miaka ya kufa mtu..lol

3. Zumbemkuu

mie mpaka leo sijiu hicho kiombaomba alikipata wapi?

4. Mnyamahodzo

sijui katoto ka watu maskini kale kameegemea ndoo kama kamtu kalikokataliwa na babaake kakatoa wapi? kananikumbusha enzi zile za shida ya maji, unakuta foleni ndefu sana, ili kuleta msisitizo na mtu asikupite unaweka katoto kama kasecurity flan na kukusogezea ndoo..

5. nditichia

michano.. mwenyewe anazuka kuwakilisha mistari, nadhani kuna uwezekano bange hajalikolezea hivyo akafunika uso kwa kitambaa ili soo imwondokee.. Bongo!?)

6.Saigon

.pamoja na
Dazu

Saigoni we saigoni na Dazu wako.. ondoeni hizo avatar zenu.. ohooo hujui siku hizi wanatembea na vya moto watu hao.. watawananihii..)

7.Rohombaya

Yaani Jina na Avatar vimeendana 100%

8. Vikwazo

kweli Vikwazo vya maisha. Dogo amekwazika, maisha shamchakachua, amekaa juu ya njia ya Chuma. Chombo kiko spidi kinakuja kwenye njia yake, yeye mawazo yako mbali sana, shakwazika na maisha vibaya sana.. ha ha haa

9. nditolo

wakwetu huyo ndo shemeji nini?

10.dhahabuinang'aa

ze igungaz

10. Kuna avatar ya misahani ya mipilau.. asee sijui ya nani vile.. inaogeshea na kuwakilisha vilivyo..

Embu nijuze zaidi ni avatar ya nani unaipenda na kwa nini unaipalilia
 
naipenda ya
the boss
the finest
saint ivuga
preta
nazipenda koz avatar zao zinawawakilisha wao kwani wako na mawazo yanaendana na avatar zao
mfano ze big boss na msela aliyemuweka anaakili kinoma naona na yy coment zake zimeenda skul
preta kaweka avatar ya kuonesha upole na yy namuona yuko poa kinoma yani
saint ivuga avatar yake iko poa sana
 
nilisahau na
mwanakijiji avatar yake iko poa na inaendana na thread zake anazotoa za ukweli na zinaakili kupitiliza
the finest iko so lovely na naona iko kiupole zaidi pamoja nainaendana na coments zake ...............
 
nilisahau na
mwanakijiji avatar yake iko poa na inaendana na thread zake anazotoa za ukweli na zinaakili kupitiliza
the finest iko so lovely na naona iko kiupole zaidi pamoja nainaendana na coments zake ...............

Hapo umeua.. ya mwanakijiji haina upinzani.. inaonyesha kilimo cha wabongo ni kwa wazee.. vijana mjini..kuuza mifuko ya rambo..
 
Hapo umeua.. ya mwanakijiji haina upinzani.. inaonyesha kilimo cha wabongo ni kwa wazee.. vijana mjini..kuuza mifuko ya rambo..

naheshimu sana ya mwanakijiji hasa kutokana na comment zake za kiutu uzima
 

Hata wewe mwenyewe avatar yako mgogolo.. ungeongezea sentimeta kadhaa kukata kwenda chini kinababa humu wangechomolea mashati..
 

Unajua neno saint ni waheshimiwa sana wa dini, sasa avatar yake inaonyesha chekibob flan vile.. naona kama haijakaa sawa sana..
 
Unajua neno saint ni waheshimiwa sana wa dini, sasa avatar yake inaonyesha chekibob flan vile.. naona kama haijakaa sawa sana..

Hujui historia yao hawa wawili....kunamahali ndoano na nyavu vilihusika sana...kwa ukimya huu watakiwa kuconnect dots.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…