kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 10,816
- 13,227
Wakuu, katika pitapita zangu kwenye vyombo mbalimbali vya habari,nikifuatilia sakata linaloendelea Kati ya urusi na taifa Jirani yake ( ukraine).., nimegundua kitu kwamba waafrika tusiendelee kubezwa sana kutokana na mitazamo yetu na fikira zetu,..,ni ajabu kuona taifa linalojinasibu kama super pawer bado Lina fikra za kinjekile ngwale
Hakika ukistaajabu ya muda utayaona ya pharaoh.., super pawer anaamini maji ya baraka yanaweza kubadili au kupunguza Makali ya kichapo anachotembezewa na jirani yake..,hizi fikra tulitegemea wawe nazo viongozi wa kiafrika lakini Hali imekuwa tofauti.., hii Inadhihilisha wazi kwamba urusi Bado inaongozwa na watu wenye akili finyu kupita kiasi.., haya matendo huwezi kuyashuudia kwa mataifa makubwa yaliyoendelea na kujitambua.., hakika kupitia hii waliyoita operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo tutajionea mengi sana