Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 365
- 578
yapo nimechukua ya 3000 natest kwa kipind hiki[emoji23][emoji23][emoji23]Kimbo kwani yapo haya jamani.
Hakuna namna yatupasa tu tuish nayo kwa kipindi hiki yani[emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu kuna mtu atakumbuka haya mafuta. Binafsi sijui mkuu ila najua sio mazur kwa afya ya moyo wako.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Nilitumia miaka ya 1994 huko kwenda nayo bordingyapo nimechukua ya 3000 natest kwa kipind hiki[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee aisee bora nilitanguliza salamu kabisa kipind hicho nadhan hata mshua alikua hajaonana na maza[emoji23] yapo sana tu na yatakua kimbilio la wengi saiviNilitumia miaka ya 1994 huko kwenda nayo bording
Asante sana, chumvi mwangu tumeila. Wakati huo kuna kimbo na tanbond.[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee aisee bora nilitanguliza salamu kabisa kipind hicho nadhan hata mshua alikua hajaonana na maza[emoji23] yapo sana tu na yatakua kimbilio la wengi saivi
Niliyaona supermarket nikashtuka sikujua kama bado yapo[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee aisee bora nilitanguliza salamu kabisa kipind hicho nadhan hata mshua alikua hajaonana na maza[emoji23] yapo sana tu na yatakua kimbilio la wengi saivi
yapo aisee saiv yanatupa ahueni watu kama sisi[emoji16]Niliyaona supermarket nikashtuka sikujua kama bado yapo[emoji28]