Ni aina gani la dini hili

Learner41

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
22
Reaction score
65
Habari wakuu, habari za kushinda? Poleni na majukumu.
Siku ya leo nimeona post ya bbcswahil kuhusiana na almasi ya ajabu iitwayo enigma. Sasa nina jiwe kama hilo niliokota miaka 7 iliyopita. Najiuliza linaweza kuwa lenyewe au ni mfanano tu.

Naambatanisha picha ya bbcswahili pamoja na picha za jiwe nililonalo.

Ahsanteni kwa msaada







 
Gonga na uone kama.litapasuka au lah
 

Wasiliana na BBCSwahili uwatumie picha wanaweza kukupatia majibu Mkuu!

Ukifanikiwa unikumbuke ktk ufalme wako!
 
Hivi bado Kuna watu wanatapeliwa kwa style hio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…