Ni aibu show ya Kiba Mombasa kama yupo msibani

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Mbona watu wachache sana afu picha zimepigiwa mbali sana afu full cropping za kutosha......daah aibu sana sizani kama watu 300 wanafika kwny hii show ni aibu sana

Ushauri msanii ukiona show imebuma jaribu kuuchuna usiposti picha mbona mond show zake zinapobuma hapostigi picha anakausha tu kwa mfano show ya uwanjani ile aliyofanya Mayotte hakuposti unajua tatzo nn

Kiba siku nyingne ukiona show yako imebuma kausha tu show gan mbovu iv watu wachache kweli afu unajisifu unakubalika mombasa punguzeni sifa zitawaponza
 
Attachments

  • Screenshot_2017-01-01-18-20-44.png
    Screenshot_2017-01-01-18-20-44.png
    284.6 KB · Views: 117
Mbona watu wachache sana afu picha zimepigiwa mbali sana afu full cropping za kutosha......daah aibu sana sizani kama watu 300 wanafika kwny hii show ni aibu sana

Ushauri msanii ukiona show imebuma jaribu kuuchuna usiposti picha mbona mond show zake zinapobuma hapostigi picha anakausha tu kwa mfano show ya uwanjani ile aliyofanya Mayotte hakuposti unajua tatzo nn

Kiba siku nyingne ukiona show yako imebuma kausha tu show gan mbovu iv watu wachache kweli afu unajisifu unakubalika mombasa punguzeni sifa zitawaponza
Shoo ya DIAMOND ile ya uwanjani MAYOTTE haikufanyika kwa sababu promoter hakutimiza masharti,we zungumzia ya huyo "king "wenu anayelilia tuzo,wakati alishasemaga muziki wake ni mkubwa kuliko tuzo.
 
Diamond unamuweka na davido, tecno, wizkid, A.K.A nk kumuweka na ally kiba ni kufanya makosa makubwa maana kiba ndo anaanza kuchukua tuzo alizoanza kuchukua mond 2012, kwa kifupi kuna distance kubwa kutoka kiba mpaka kumfikia mond pia kuna utofauti mdogo sana kati ya msanii kama mavoko na kiba.
 
Napenda, kumshauri, tu huyo kibakuli kua apungize shoo za mombasa wamemzoea ndio mana unaona waudhuriaji ni wa chache
 
Si mbaya..... bora anaufanyia kazi ushauri tunao mpa. Ajitume, aachane na K K K
 
Naziona dalili zote za mtu anayeishi kama nzi,we ukiamka unafata tu harufu inapotekea.Hii 2017 anza kuishi kama nyuki (kuwa na clear understanding ya maisha yako).Yaani kuwa na maisha yanayoeleweka kama ya nyuki;unatengeneza product,una mgawanyo wa majukumu na pia unaboresha mazingira.
 
Back
Top Bottom