Ni aibu show ya Kiba Mombasa kama yupo msibani

Hitmaker wa Aje, Alikiba alifanya show wikiendi hii mjini Mombasa, Kenya ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017. Zifuatazo ni video na baadhi ya picha za show hiyo.



alik-mobasa-2.jpg

alik-mobasa-3.jpg

alik-mobasa-4.jpg
 
Hiyo ni fete?mbona kama ni party ya wafanyakazi tu?
Ile show iliomfanya atake kuuwawa aliirudia?
Kiba anazidi kwenda chini.Diamond Tarehe 5,anatumbuiza dunia akiwa Abuja kwenye tuzo za CAF
 
Kiukweli Msema kweli mpnz wa Mungu.... Watazamaji walikuwa wachache....Tuangalie wapi tumekosea. Heri ya mwaka mpya 2017... mwanajamii forum
 
Mbona watu kama Family day ya NMB? Sema ukweli hapo hakuna cha nyomi wala nini. Sema gavana wa Mombasa atakuwa kafurahi sana.
 
Mbona watu wachache sana afu picha zimepigiwa mbali sana afu full cropping za kutosha......daah aibu sana sizani kama watu 300 wanafika kwny hii show ni aibu sana

Ushauri msanii ukiona show imebuma jaribu kuuchuna usiposti picha mbona mond show zake zinapobuma hapostigi picha anakausha tu kwa mfano show ya uwanjani ile aliyofanya Mayotte hakuposti unajua tatzo nn

Kiba siku nyingne ukiona show yako imebuma kausha tu show gan mbovu iv watu wachache kweli afu unajisifu unakubalika mombasa punguzeni sifa zitawaponza
picha huoni na maandishi huoni nyokooooo huoni nyumi ya watu hapo?
 
Unqjisifu unapendwa afu unafanya show wanahuzuria wandish tu aibu kweli kweli
 
Back
Top Bottom