Ni 32% ya bajeti toka kwa wafadhili ndio imetoka ndani ya miezi 5, bajeti ya Tril 29 haitofikiwa]

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
IMG_20170202_051909.jpg
The citizen
 
Kwani lile tamko la kufyatua noti mpya bado halijatekelezwa,si wafyatue minoti tu ili waweze kufikia makadirio ya bajeti kwa haraka?Huu ni upumbavu,tunategemeaje misaada ya wahisani wakati uwezo wa kufyatua noti mpya ili kufikia bajeti yetu upo mikononi mwetu?
 
Kwani lile tamko la kufyatua noti mpya bado halijatekelezwa,si wafyatue minoti tu ili waweze kufikia makadirio ya bajeti kwa haraka?Huu ni upumbavu,tunategemeaje misaada ya wahisani wakati uwezo wa kufyatua noti mpya ili kufikia bajeti yetu upo mikononi mwetu?
Kuvyatua noti mpya ni gharama tena kubwa
 
Ngoja tuone nasikia aliteta na Zuma sasa sijui walielewana Lugha pengine SA watatukopesha
 
Bajeti ya trilioni 29 haiwezi kufikiwa unamaanisha nini? Kwanini tuifikie bajeti ya trilioni 29?
 
Miradi hapo haiendi na fedha za ndani tunatumia kughamia kuhamia Dodoma ambako hakukuwa budgeted 2016/17.
Uwezo wa kulipa madeni ya ndani utapungua kama sio kutoweka kabisa na hali inakuwa ngumu lakini tutajibiwa kuwa tulizoea dili.

Umesahau ule uwanja wangu ninaoujenga kule kwetu.
 
Sidhani kama ni shida sana, kwa kuwa miezi mitano kati ya kumi na mbili ni 41.6% ya kipindi cha mwaka...na inategemea hiyo pesa ililengwa kutumiwa kipindi kipi cha mwaka. Kama iliyotolewa ni 32% huenda malengo yalikuwa kwamba kiasi kikubwa kitatolewa nusu ya pili ya mwaka au robo tatu... Nani anayejua? Si sahihi kufikia hitimisho kwamba kwa kuwa tumeshatumia 41% ya muda na tupepata 32% ya kiasi kilichoahidiwa na wafadhiri basi hatutafikia lengo......Hili lingewezekana tu endapo makubaliano yangekuwa kwamba pesa zitatolewa kulingana na muda unavyokwenda.

Hata kama hatumpendi Magufuli ila naona sasa ukosoaji mwengine hauna maana.
 
Back
Top Bottom