NHIF vipi?

NHIF vipi?

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,342
Reaction score
13,364
Tuliofanya Written interview kule Bima ya Afya sasa hivi matumbo joto tukisubiria kama tutaitwa kwenye Oral interview au la.

Jamani eeeeh wenye kujua hawa jamaa kuwa wanaita lini atujuze basi tujue kama tuendelee na uchuuzi wetu samaki hapa soko la ferry au tuingie chimbo tukajiandae na nondo za Oral.

Naomba kuwasilisha ​
 
taarifa za uhakika znasema mwez huu oral znafanyika...tuendelee kusubir..
 
uki apply sahau mpaka wakuite. kuitwa oral sio kupata kazi mkuu bali ni procedure katika kupata kazi.
Endelea kufanya mambo yako,kama ipo ipo tuu
 
Nadhani watawaita wote waliofanya written interview.Kwani mwanzo walifanyaje.
 
kwa kigezo kuwa alojibu swali la kwanza na la mwisho vizuri aje kuhudhuria interview tar......!!!!
 
Nadhani watawaita wote waliofanya written interview.Kwani mwanzo walifanyaje.

hahahahaaaaa,hiyo kitu haipo mkuu,hadi upite kipingamizi cha written ndo utaitwa oral
 
We endelea tu na uchuuzi kaka!

hahahahahaaa,acha kunibaniaaaaaaa weweee,wakiroga kuniita tu ujue wamenipa kazi,uchuuzi wa samaki nauaga hivihivi,nawaachia wenzangu mishombo ya samaki
 
uki apply sahau mpaka wakuite. kuitwa oral sio kupata kazi mkuu bali ni procedure katika kupata kazi.
Endelea kufanya mambo yako,kama ipo ipo tuu

upo sahihi mkuu,ila hata ukijifanya upo bize vipi kitumbojoto cha kutaka kuitwa kitakuwepo tu,si unajua shavu tenaaaaa
 
Yaani hapa presha itaisha tukiitwa au wakiitwa watu kwenye oral atleast tujue moja tupo ndani au nje!!
 
upo sahihi mkuu,ila hata ukijifanya upo bize vipi kitumbojoto cha kutaka kuitwa kitakuwepo tu,si unajua shavu tenaaaaa
Mh wenye vitumbo joto ni nyie labda mlomaliza chuo mwaka jana lkn sie twenye miaka zaid ya mitatu kitaa bila ajira wala hatuna kitumbojoto! Tukiitwa haya tusipoitwa pia poa tu..tushazoea,tunasubiria rehma za Mungu!
 
hahahahahaaa,acha kunibaniaaaaaaa weweee,wakiroga kuniita tu ujue wamenipa kazi,uchuuzi wa samaki nauaga hivihivi,nawaachia wenzangu mishombo ya samaki
Mhhhh mwenzetu kuna cri gan hapo kwenye oral...tuambiee!!
 
Mh wenye vitumbo joto ni nyie labda mlomaliza chuo mwaka jana lkn sie twenye miaka zaid ya mitatu kitaa bila ajira wala hatuna kitumbojoto! Tukiitwa haya tusipoitwa pia poa tu..tushazoea,tunasubiria rehma za Mungu!

kwel mkuu hawa vijana wa mwaka jana wana haraka sana,,hawajuhi tu!
 
Mh wenye vitumbo joto ni nyie labda mlomaliza chuo mwaka jana lkn sie twenye miaka zaid ya mitatu kitaa bila ajira wala hatuna kitumbojoto! Tukiitwa haya tusipoitwa pia poa tu..tushazoea,tunasubiria rehma za Mungu!

hahahahahaaaaa,weweee,shida hazizoeleki mkuu,we mtu hata vidogo vyangu vikinipiga vimizinga vidogo hata vya buku 2 inakuwa tabu kuwatoa,si noma hii sasa mkuu?
 
Tuliofanya Written interview kule Bima ya Afya sasa hivi matumbo joto tukisubiria kama tutaitwa kwenye Oral interview au la.

Jamani eeeeh wenye kujua hawa jamaa kuwa wanaita lini atujuze basi tujue kama tuendelee na uchuuzi wetu samaki hapa soko la ferry au tuingie chimbo tukajiandae na nondo za Oral.

Naomba kuwasilisha ​

Hahaaaaaaa ...ndo nyie mliofanya written interview watu elfu nane wakati nafasi ziko 6! Hahahaaaaa...eeeh vimemoooo tenda miujizaaa...kama kimemo huna sahau..na kama kimemo chepesi basi kimepeperushwa na upepo.. watu wako kwenye training ya kazi mdogo wangu jaribu next time
 
hahahahahaaa,acha kunibaniaaaaaaa weweee,wakiroga kuniita tu ujue wamenipa kazi,uchuuzi wa samaki nauaga hivihivi,nawaachia wenzangu mishombo ya samaki

Unaota utauza sana samaki mwaka huu...
 
Back
Top Bottom