NHIF; Vifurushi- (package) viko wapi?

KALABASH

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
493
206
Mlijitangaza sana kwa mbwembe kwamba kabla ya mwisho wa mwezi March 2019 mtakuwa mmeleta vifurushi vya aina mbali mbali ili kuwawezesha Watanzania wa viwango tofauti tofauti vya kifedha kujiunga. Tuko mwezi June sasa. Ahadi zenu zimeyeyuka?
 
Mabwege hao kujisifu tuuu! hela wamekopesha mahospitali wanajengea tuu ndio mirado yao ya kula hela wala hawakumbuki kama hiyo ni michango ya wanachama
 
Mlijitangaza sana kwa mbwembe kwamba kabla ya mwisho wa mwezi March 2019 mtakuwa mmeleta vifurushi vya aina mbali mbali ili kuwawezesha Watanzania wa viwango tofauti tofauti vya kifedha kujiunga. Tuko mwezi June sasa. Ahadi zenu zimeyeyuka?
Subiri, hii ni Tanzania ileile, mdogomdogo!
 
Back
Top Bottom