NHIF kuna sehemu mnayumba sana lakini pia mnaboa mno imagine nakatwa kila mwezi makato ya NHIF na MUNGU Wangu ananinusuru na magonjwa mazitomazito au usiumwe kabisa ndani ya miaka 6 cha ajabu kadi ikichakaa naambiwa niilipie nipate mpya.
Kwani haya makato ya kila mwezi yanafanya kazi gani kama sio kuniboreshea huduma??!!