O OIL CHAFU JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 996 Reaction score 776 May 20, 2021 #1 Mgonjwa anaenda hospitali. Anaambiwa mtandao haufanyi kazi. Anakaa masaa, wagonjwa wa cash wanahudumiwa. Unaweza kufiwa na mgonjwa wako reception kusubiri mtandao.
Mgonjwa anaenda hospitali. Anaambiwa mtandao haufanyi kazi. Anakaa masaa, wagonjwa wa cash wanahudumiwa. Unaweza kufiwa na mgonjwa wako reception kusubiri mtandao.
Kalosa JF-Expert Member Joined Feb 22, 2017 Posts 1,914 Reaction score 5,590 May 20, 2021 #2 Pole sana ndugu.
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,214 Reaction score 4,170 May 20, 2021 #3 ...Si Mtandao huo huo ambao umetuweka Gizani siku tatu nzima tukishindwa kununua Umeme? Mtandao!!!