Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,002
- 22,332
Huko Hakuna mkurugenzi , mkuu wa wilaya , Mbunge ?MGURUGENZI WA NHIF MULIKA WATUMISHI WA NHIF HOSPITALI YA WILAYA YA NZEGA.
- Kwanza muda mwingi hawapo kazini.Mfano, JUMAMOSI,JUMAPILI,na nyakati zs USIKU!!! Je WAGONJWA WA BINA NYAKATI HIZO HUWA HAWAUMWI?? NDIVYO MLIVYOAGANA NAO KWAMBA NYAKATI HIZO WAGONJWA WANAOTUMIA BIMA HAWAPASWI KUUMWA NA IKITOKEA WAMEUMWA NYAKATI HIZO WANAPASWA WAJIGHARAMIE MATIBABU ILIHALI WANABI A KISA MJAZAJI WA FORMU HAYUPO KAZINI?????????
-Kadi la Mgonjwa Lile gumu ,Unaambiwa kanunue dafutari dogo hapo getini kwao!!! Huo huenda ni mradi wa mtu.!!
- Dawa nyingi Unaambiwa hazipo kanunue[emoji34]Ni wajibu wenu kuhakikisha Dawa zote zipo kwa wagonjwa wa Bima.Vinginevyo mtupage na hela za kununulia HIZO Dawa maduka ya Phamarcy.
MKURUGENZI HAKIKISHA WATUMISHI WAPO MUDA WOTE HASA NYAKATI ZA USIKU NA WIKENDI.HILI NI KEROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Sorry mkuu najua umeuliza hili swali ukimaanisha laki 9 ni sawa tu na 984,000/-Mkuu bei hapo chini kwa 60+ umeona ni ngapi?
Jana nimekua nafanya research mimi na familia tujiunge NHIF kile kifurushi cha bei ya juu kabisa. Inatakiwa km milioni moja na laki hivi. Nikacheki AAR kifurushi cha dizaini hiyo ila cha chini kidoogo ni mara mbili yake.
Sasa kuokoa cost nika make conclusion ngoja nikate NHIF ila mimi nimezoea sana kwenda Agakhan hospital. Sasa nikasema ngoja niwapigie Agakhan kuwauliza vp mnapokea wenye bima za NHIF.
Nikajutaa. Eti wenye bima za NHIF wanaopokewa hapa Agakhan ni wafanyakaz wa TRA, Benki Kuu sijui na kampuni gani nimesahau jina. Wengine wote hatupokei labda uende kwenye vile vijibranch vya Agakhan.
Nilichoka kwa kweli.
Uzalendo utanishinda itabidi nijichange nikate tu AAR sasa.
Tena na watu hapa wanakatisha tamaa sijui dawa gani hupewi duh!
Majanga😭😭😭😭😭Nilikuwa sifahamu hiliWanaboa kwa kweli. Wanajua magonjwa yanayowaandama wastaafu wengi, wamezuia fawa muhimu nyingi. Mfano dawa Za kisukari nyingi, Za hypertensjon nk unaenda dukani wanakwambia dose ya mwezi ni 170,000na hiyo ni moja. Daktari anasema wafanyakazi wadi TRA. Benki wanaruhisiwa bilar shida. Ubaguzi gani huo. Au ninyi hamtazeeka na kustaafu?
Pole sana ndugu yangu.NHIF Pale Hospital ya Wilaya ya Nzega ni hovyo kabisa.
Kazini muda mwingi hawapo!! USIKU PIA HAWAPO!!! JUMAMOSI NA JUMAPILI HAWAPO!!!!
Wagonjwa wanaotumia Bima ni shida tupu!!!
HIVI USIKU ,AU SIKU ZA WIKENDI WAGONJWA WANAOTUMIA BIMA WAMEAGANA NAO KUWA HUWA HAWAUMWI????
Mike wangu alilazwa na mtoto mdogo lakini aliambiwa wahudumu was kujaza Form za NHIF hawapo!!! Hivyo alipie matibabu pamoja na dawa!!! USIKU ule niliwapigia simu watu was Bima! Bahati mbaya wakataka wazungumze na mtu aliyepo Hospitalini!! Mke wangu na ndugu wakashauri ni Bora kulipia mtoto apone maana hali ilikuwa ni mbaya zoezi likashindikana!!!!
Hospital ya Nzega ya Wilaya kitengo Cha BIMA KIMULIKWE VIZURI.
Kadi za kumuandikia mgonjwa unaambiwa kanunue dafutari nje ya pale kwenye geti la kuingilia!!! No biashara ya mtu ile!!!
MGURUGENZI WA NHIF MULIKA WATUMISHI WA NHIF HOSPITALI YA WILAYA YA NZEGA.
- Kwanza muda mwingi hawapo kazini.Mfano, JUMAMOSI,JUMAPILI,na nyakati zs USIKU!!! Je WAGONJWA WA BINA NYAKATI HIZO HUWA HAWAUMWI?? NDIVYO MLIVYOAGANA NAO KWAMBA NYAKATI HIZO WAGONJWA WANAOTUMIA BIMA HAWAPASWI KUUMWA NA IKITOKEA WAMEUMWA NYAKATI HIZO WANAPASWA WAJIGHARAMIE MATIBABU ILIHALI WANABI A KISA MJAZAJI WA FORMU HAYUPO KAZINI?????????
-Kadi la Mgonjwa Lile gumu ,Unaambiwa kanunue dafutari dogo hapo getini kwao!!! Huo huenda ni mradi wa mtu.!!
- Dawa nyingi Unaambiwa hazipo kanunue😠Ni wajibu wenu kuhakikisha Dawa zote zipo kwa wagonjwa wa Bima.Vinginevyo mtupage na hela za kununulia HIZO Dawa maduka ya Phamarcy.
MKURUGENZI HAKIKISHA WATUMISHI WAPO MUDA WOTE HASA NYAKATI ZA USIKU NA WIKENDI.HILI NI KEROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Nilichokieleza hapo kipo kwenye soko na kinapatikana bila shida yoyote baada ya wizara kwa kushirikiana na NHIF kufanya maboresho katika kitita chake cha dawa......Nayazungumza haya maana waandishi waliitwa wakati kuzungumzia huduma za dawa za NHIF .Mkuu ulivyoelezea unaonesha unayajua haya mambo vizuri. Ila kumbuka wanaolalamika hapo juu ndi watumiaji halisia wa mwisho wa huduma.
Inaweza kua ulichokisema kiko kwenye makaratasi tu kama maua. Nenda front sasa....utumbo.
Mkuu umeongea bonge la point. Na nakuambia aisee si umeona hapa watu wanalalamika NHIF sijui dawa hizi haziwi covered nenda kanunue sijui hiki, yaani haya ni malalamiko ya watu wengi sana.Mzalendo mwenzangu....kwa nini uwaze Agakhan ambayo ni Zonal level Usiwaze Muhimbili ambayo ni National level?
Leo hii ukienda huko unakowaza wakikushindwa utahamishiwa Muhimbili ambako ukiwa na NHIF Kifurushi unafika bila tatizo lolote.
MI NADHANI TUACHE KUWA MADALALI......
Sasa haya ndio mambo sasa. Kumbe kuna mpk toll free number yakupiga. Nauhakika hii number watu hawaijui.Nilichokieleza hapo kipo kwenye soko na kinapatikana bila shida yoyote baada ya wizara kwa kushirikiana na NHIF kufanya maboresho katika kitita chake cha dawa......Nayazungumza haya maana waandishi waliitwa wakati kuzungumzia huduma za dawa za NHIF .
Hivyo hili ni jambo linajulikana na wala siyo la siri .
Muhimu ukipata shida kwenye kituo cha matibabu wapigie kwa numba zao za huduma kwa wateja 0800110063 na mambo yatakwenda vizuri.
Mkuu umeongea bonge la point. Na nakuambia aisee si umeona hapa watu wanalalamika NHIF sijui dawa hizi haziwi covered nenda kanunue sijui hiki, yaani haya ni malalamiko ya watu wengi sana.
Serekali kuna changamoto wanazifumbia macho aisee. Na wanajua kabisa sema ni ile kwamba iko kisiasa zaidi mtu akipanda jukwaani ikitajwa bima ya afya ya taifa vigelegele hakuna wakuuliza changamoto ni zipi. Yaani dizaini ile ya tumejenga mahospitali 999,999 watu weweeeeeeee. Makofi. Kumbe ukija ground zero huku hospital zipo madawa hamna, xray mbovu......
Back to the topic......mkuu mpk uumwe upelekwe muhimbili umeumwa kweli kweli. Nashkuru Mungu haijawahi tokea hivyo. Kama ingalikua hata magonjwa tu ya kawaida tunaruhusiwa kutimba muhimbili straight waaaaiiiii NHIF mbn mpango mzima. Napenda sana muhimbili pamoja na issues za hapa na pale kuliko hata Agakhan honestly.
Sasa km Mungu anajaalia mtu unaumwa tu kawaida bila kuhitaji referal ya Muhimbili NHIF inakua shida sasa km wadau walivyosema hapo juu. Yaani hata dawa zingine za kawaida tu eti haziko covered. Shida.
Mimi ni mzalendo sana aisee. Na hiyo Agakhan sio km nai promote hapana. Private ni private tu. Maana wife alijifungulia pale walikua wampige operation nikawashikia bango tusubiri uchungu uzidi meisho mtoto katoka kwa njia ya kawaida. Nao wako kipesa zaidi inabidi sometimes uwe nao makini. So hawako perfect wala.
Pia kutoa gawio kwa serikali wakati NHIF inapaswa kutoa huduma kwa wananchi na siyo kufanya biashara.Makato na malipo tunayotoa yote yanaishia Kulipana mishahara na Allawance kubwa kubwa
Ndugu wameongeza dawa zisizohitajika, wametoa dawa zinazohitajika, hasa za wazee na magonjwa korofi.. Watu tunaouguza tunaelewa maumivu!Kwa upeo wangu mdogo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatoa huduma dawa zote za msingi kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, hakuna ukweli wowote wa kuondolewa kwa baadhi ya dawa katika orodha, dawa aina ya intravenous iron sucrose(Iron sucrose Injection) ipo katika orodha ya dawa za NHIF na inapatikana katika hospitali na maduka ya dawa yaliyosajiliwa
zaidi mfuko hivi karibuni kwa kushirikiana na wizara ya afya umeongeza dawa nyingine zaidi 71 katika orodha yake ya dawa hii ni baada ya mapitio na maboresho ya orodha za dawa za msingi zilizoainishwa katika muongozo wa Tiba wa Taifa (Standard Treatment Guideline)
Kwa nini mkuu unamaanisha huo mfuko haukuwepo zamani?
Hivi unatumia bima ya NHIF kweli wewe? Umewahi kuugua ugonjwa unaokuhitaji kuchukua dawa kila mwezi hivi karibuni mkuu?Kwa upeo wangu mdogo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatoa huduma dawa zote za msingi kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, hakuna ukweli wowote wa kuondolewa kwa baadhi ya dawa katika orodha, dawa aina ya intravenous iron sucrose(Iron sucrose Injection) ipo katika orodha ya dawa za NHIF na inapatikana katika hospitali na maduka ya dawa yaliyosajiliwa
zaidi mfuko hivi karibuni kwa kushirikiana na wizara ya afya umeongeza dawa nyingine zaidi 71 katika orodha yake ya dawa hii ni baada ya mapitio na maboresho ya orodha za dawa za msingi zilizoainishwa katika muongozo wa Tiba wa Taifa (Standard Treatment Guideline)
kifurushi kipi? najali, wekeza au timiza? wewe peke yako au na mwenza?Mkuu bei hapo chini kwa 60+ umeona ni ngapi?
Kama utataka labda ukate zile za binafsi zenye bei kubwa, ila hiyo ya "najali afya" wala hata usihangaike nayo, watakuhesabu tu miongoni mwa watu wenye kumiliki bima Tanzania lakini hutapata huduma nyingi sana za msingi ikiwemo madawa. Sisi spana mkononi ndio tunaumia sana kutuondolea madawa yetu ya maana 😔Ninamiaka 10+ sijaugua, zaidi ya mafua tu. Sina mpango wa hayo mabima. Siku nikiumwa nitatoa hela yangu mfukoni
Na huo ndio ukweli wenyewe, mchawi ni wizara na Standard Treatment Guidelines zao. NHIF wamekazia tu maana wanaona ipo in their favourWengine tumekata bima za binafsi kukwepa gharama kubwa za dawa za kila mwezi lakini nilipopiga namba yao ya huduma kwa wateja wananiambia ninawalaumu bure, wa kuwalaumu ni wizara ya afya waliowapa muongozo wa kuondoa hizo dawa. [emoji17]
Wewe jamaa utakua moja ya wagombea waliopita bila kupingwaNilichokieleza hapo kipo kwenye soko na kinapatikana bila shida yoyote baada ya wizara kwa kushirikiana na NHIF kufanya maboresho katika kitita chake cha dawa......Nayazungumza haya maana waandishi waliitwa wakati kuzungumzia huduma za dawa za NHIF .
Hivyo hili ni jambo linajulikana na wala siyo la siri .
Muhimu ukipata shida kwenye kituo cha matibabu wapigie kwa numba zao za huduma kwa wateja 0800110063 na mambo yatakwenda vizuri.