NHIF kwa hili hamtutendei haki Toto afya card

Maelezo yako ni sahihi lakini kuna swala kwamba ukichelewa Ku renew bima ya mtoto huduma zinasitishwa kwa miezi mitatu baada ya kulipia nadhani hii sio sawa,kwanini wasiweke faini kwa kuchelewa kulipia lakini huduma irejeshwe baada ya malipo? maana hakuna wanachopoteza na badala yake wangeongeza mapato kutokana na hizo faini.
 
Utaratibu wa bima za afya nchi nyingi Ni huo Sio NHIF tu. Waiting period miezi 3 bima iwe mature.

Kuepuka wale wanaoenda kukata bima wakiwa wagonjwa, kaandikiwa operation baada ya mwezi anaona akakate bima isimamie operation.
Unapewa miezi mitatu ya kuchangia tu, huduma baadae.
 
Hili hata mimi limenitokea nilichelewa ku renew kadi ya mtoto wameniambia mpaka mienzi mitatu ndio itafanya kazi tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
mkuu umetoa maelekezo safi kabisa

vipi unauelewa na namna ya kufungua bima ya binafsi kwa mtu asiyemtumishi wa kuajiriwa yaani wa kawaida
 
mkuu umetoa maelekezo safi kabisa

vipi unauelewa na namna ya kufungua bima ya binafsi kwa mtu asiyemtumishi wa kuajiriwa yaani wa kawaida
Kwa hilo ukienda kwenye ofisi zao watakupa vifurushi utachagua
Pia nenda ofisi yako ya kata hapo kuna bima nhif cheap ya 40,000/-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…