A
Anonymous
Guest
Kero yangu ni kwa mfuko wa bima ya afya wa Taifa (NHIF) kupitia huduma yao ya jihudumie ya (NHIF self services) inachukua muda mrefu sana tangu kuongeza tegemezi mpaka ku approve maombi na kumuweka mteja aliyeongezwa kwenye active beneficiary na kupewa namba ya huduma.