NHC yamwaga mifuko 100 ya cement bakwata Arumeru

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810
Baraza la waislamu Arumeru limepokea mifuko 100 ya ujenzi wa shule ya awali .

Mifuko hiyo imepokelewa na shee Aruna hussen Mwenyekiti wa bakwata Arumeru
 
serikali haina dini.

NHC wangetoa hiyo mifuko ya saruji kwenye shule yoyote ya serikali.
 
Back
Top Bottom