NHC Kibada: Nyumba Vyumba 3 Inapangishwa

NHC Kibada: Nyumba Vyumba 3 Inapangishwa

erique

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
587
Reaction score
579
Habari wanajamii,
Napenda kuwafahamisha kwamba napangisha nyumba yangu mwenyewe ya vyumba 3, iliopo ndani ya nyumba za NHC Kibada project, Kigamboni.

Nyumba hii ni miongoni mwa nyumba zilizojengwa kwa matofali ya kuchoma,na ipo karibu na barabara kuu inayotenganisha nyumba za NHC na NSSF. Nyumba ina sebule, na vyumba 3 vya kulala,kimoja ni selfcontained, na pia kuna choo cha pamoja kilichopo ndani ya nyumba. Pia, inaeneo linalotosha kupaki gari ndogo 3. Nyumba ni mpya kabisa, umeme na maji vinapatikana.

Bei ni shilingi 500,000/- kwa mwezi, napokea kodi ya kuanzia miezi 6 nakuendelea.

0716 252588

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom