NHC gets $2Billion loan for its new Kawe Satellite City

Right post in the wrong place. Good news fir Tanzania. However, kindly post it in your fòrum or is it not popular as the Kenyan forum?
Right post in the wrong place. Good news fir Tanzania. However, kindly post it in your fòrum or is it not popular as the Kenyan forum?
Very popular, you can look at the number of viewers, they exceed your forum, wamewawekea humu ili kuboast, since you guys love bragging, let them brag too.
 
Watu hii project mnaichukulia tofauti
Cha kwanza NHC hawajengi kwa ajili ya watu wenye pesa tu
Mbona wanajenga nyumba za kuanzia mili 44 mpka 59 hii ni kwa wale tusiona uwezo mkubwa kipesa

Na kwa wale wenye uwezo mkubwa kipesa wataishi huko Kawe city..

Swala ka economical visible ..hayo ni maoni yenu ..kwa sababu wao washafanya assement kubwa ..na huwezi ukakopesha kama hutoweza kurudisha

NHC ina targert middle icome earners na high income pia ...na Maisha yanavyosonga mbele viwanda na ajira ndo hufanya watu wawe middle income earners

Kumbukeni its good to have a plaaned city ..na pia population ya Dar inazid kuongezeka ..na pia middle income earners wanazid kuongezeka ..so its good to have this project

Tho am sure 2020 itakoyokuwa imeisha itakuwa 7/11 ..hio kawe city inaweza ikaisha yote 2030 labda

Mimi nashangaa watu wanavyolalamikia NHC ..utafikiri hawajengi affordable houses pia
 
Right post in the wrong place. Good news fir Tanzania. However, kindly post it in your fòrum or is it not popular as the Kenyan forum?
NI right post for Every body,jamani tusiwe wachoyo, nanyi mjue jirani yenu anafanya nini kwa kipindi hiki ambacho bado nguvu kubwa ya ujenzi inaelekezwa Dodoma.DAR NENDA.
 
Screenshot_20170723-120925.png
 
Kama kweli hiyo project ya NHC itakuwa materialize,italiweka jiji la D's at par na NRB in terms of majengo,itasalia miundombinu ya barabara tu,WASIWASI ni huyu mkulu hasomeki
 
Back
Top Bottom