NHC Call for Interview

NHC Call for Interview

Whitedent

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
45
Reaction score
4
Jamani msikae mbali na simu NHC wameanza kuita zile nafasi za mwezi wa nne
 
Tatizo la kukusa usingizi ndo hili jamani !!! World cup ifanye iishe maana hatari ! Nafasi za mwezi wa nne ni zipi zile za mfanyakazi wa ndani au zipi
 
mi nakumbuka accountants 9 nilizoomba .. nafasi zingine sizikumbuki
 
Back
Top Bottom