Nguzo zetu

Mpaka zianguke na kuua ili tuunde tume
 
Wako kwenye kikao cha kufanya upembuzi yakinifu na kutayarisha mchakato wa kuzihamisha hapo wakishamaliza watamtafuta mkandarasi watangaze tender na kukaa kikao cha kuchambua tender na kumtangaza mshindi wa tender ya kuhamisha nguzo hizo usiwe na shaka Donatila
cc mshana jr
 
Last edited by a moderator:

Mbona ziko vizuri tuu! tena zinapitisha umeme bila wasi wasi na hata bodi ya umeme inajua uwepo wake hapo. Na siku zikiua msemaji mkuu wa umeme atasema na kutoa rambirambi kwa watakaoathirika. Tanzania kichwa cha mwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…