Nguzo 5 imara za CHADEMA hizi hapa!

Nguzo 5 imara za CHADEMA hizi hapa!

Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2015), tunaingia na chama kikuu, imara, makini kuliko muda wowote katika historia ya nchi hii. Sababu za chama hiki kuingia kikiwa na nguvu kiasi hiki ni tano na unaweza kuziita nguzo za chama.

1. Mwenyekiti na Katibu mkuu

Mtakumbuka kabla ya uchaguzi wa ndani wa chama kulikuwa na juhudi za kuwagombanisha toka kwa mahasimu wetu (walio ndani tunajua mengi) Mbinu hiyo iliposhindikana wakaja na mbinu ya kuwazuia kugombea, wakatumia ofisi ya msajiri na kelele za vyombo vyao vya habari. Kama kawida yao viongozi wetu walitulia na kuendeleza mpango wa uchaguzi na mkutano mkuu uliofana na ambao haukuwahi kufanyika na chama chochote katika ardhi ya Tanzania. Ushirikano wao na mealewano yao ni nguzo kuu ya chama.

2. Idara ya usalama ya chama:

Kwa yoyote anayejua hujuma za siasa za Tanzania atashangaa ni kwa jinsi gani chama hiki kimeweza kukwepa mishale ya ndani ya chama na nje ya chama. Ccm wametumia kila njia kuiua Chadema, kuanzia kupandikiza mamluki, kudhuru vingozi wakuu, kufanya kila njama kuona chama kinakufa. Wakati wote idara hii mahiri imenasa mipango yao yote, pamoja taarifa za idara kukiokoa chama na viongozi lakini pia wakati mwingine hutumika kama kete za kisiasa. (hapa kuna njama nyingi, ugaidi wa Rwakatale, SMS za Mwigulu, Mauaji ya Soweto, njama za kumdhuru Dr Slaa kwenye helkopita, Khalid Kagenzi, mpango wa mapinduzi ya uongozi wa chama nk nk nk.)

3.Wanasheria wa chama:

Mahasimu wetu wamejitahidi kuwabambikiza kesi vingozi, kuzia baadhi ya harakati zetu kisheria, kutengua wabunge wetu, kuhoji baadhi ya maamzi ya chama mahakani. Kinara wa sheria nchini Tundu Lissu na timu yake kama kina Prof Safari, Mabere Marando, Kibatala, Kimomogoro, Mbogolo, Mdee mara zote wameubuka washindi katika kesi hizi. Ukienda vyuo vikuu vingi wanavyuo wanasoma sheria kwa sasa role model wao ni wanasheria hawa na hasa Tundu Lissu.

4. Timu ya mipango:

Kama kuna kitu kinawasumbua mahasimu wetu ni jinsi mipango ya chama inavyokuwa ya kisasa, inayokwenda na wakati na isyotabilika. Wakiwa wanajipaga kuhujumu mpango unaendelea uantokea mpango mwingine wa hali ya juu, maadui wetu hulazimika kurudi kwenye drawing board kujipanga upya. M4C, mpango wa kanda, Chadema ni msingi, FTP 200, na sasa timu za kampeini ni baadhi ya mipango hiyo. Wakati wanajipanga kuhujumu FTP 200, sisi tuko mbele yao maana tumeanza timu za kampeini.

5. CHASO

Hii ni jumuhiya ya wanafuzi wanachadema vyuo vikuu, hawa kwa asilimia kubwa ndiyo wagombea nafasi mbali mbali mwaka huu, wameiva kifalsafa na kiitikadi. Wamenieneza Chadema kwa nguvu zao zote, si waoga na sasa wameanza mpango wa kusambaa nchi nzima kueneza Chadema kitaaluma. Siku moja Shonza aliwahi kuhoji humu eti CHASO ya akina ZZK na Regia (R I P) Mtema iko wapi. Alishindwa kujua hawa ndiyo watumishi wa leo wako ofisini na kadi za Chadema mifukoni! Ameshindwa kujua ndiyo wanaotangaza nia ya kugombea ubunge kiasi kwamba kila jimbo la Tanzania bara lina watia nia zaidi ya watano.

Jamii forum umesahau / viroba boys
 
Mkuu yapo mambo mawili makubwa sana umesahau,

jambo la kwanza la ukabila ,

pili suala la ukanda yote haya ni nguzo za chadema.

We kubali kutumiwa kama condom tu...bao la kwanza utakuwa hudai tena....its time to hate the Judaism
 
akina baba tunapoongea akina mama mnatakiwa muwe kimya subiri post za vigodoro vya ccm na mwanae mpendwa act ndio uchangie sawa mama ?
haya nenda jikoni ukapike saa saba tule
Umempa za uso mpaka amekimbia.
 
Hakika Chadema ndo chama cha upinzani ambacho kimepitia misukosuko mikubwa bila kuyumba Chadema ni mpango wa Mungu yeyote anayepanga mabaya kuhusu Chadema yatamrudia yeye mwenyewe na aliyemtuma.
 
Mkuu yapo mambo mawili makubwa sana umesahau,

jambo la kwanza la ukabila ,

pili suala la ukanda yote haya ni nguzo za chadema.
ficha ujinga wako udini na ukabila ndo.sera ya ccm mwaka huu mjiandae kisakolojia .
 
Hakika Chadema ndo chama cha upinzani ambacho kimepitia misukosuko mikubwa bila kuyumba Chadema ni mpango wa Mungu yeyote anayepanga mabaya kuhusu Chadema yatamrudia yeye mwenyewe na aliyemtuma.

Tulianza na Mungu............
 
Chadema tupo imara na mshikamano,hatutarudi nyuma hata tukiyumbishwa.
 
Mkuu yapo mambo mawili makubwa sana umesahau,

jambo la kwanza la ukabila ,

pili suala la ukanda yote haya ni nguzo za chadema.

Hiyo propaganda ilishashindwa,bado unairudia tu?kajipangeni upya mje na nyingine.
 
Ningeyaweka zingekuwa nguzo 7, yapo mengi lakini hapa nilikuwa nasema nguzo kuu tano.
umesahau na la udini. maana hili ndo lililowapatia kura 2010 baada ya slaa kuanza kupita makanisani (ref mwingulu, Zitto na wengine wengi)
 
umesahau na la udini. maana hili ndo lililowapatia kura 2010 baada ya slaa kuanza kupita makanisani (ref mwingulu, Zitto na wengine wengi)

Na hapo ndipo alipoanza kuonekana zitto mchawi na mnafiq alafu watu wanaleta mihemko juu ya zzk bila kujua chanzo ni nini.
 
Zitto alieleza jinsi alivyopingwa na wapiga kura wake ambao hawakuwa wadini yake. na walimuambia waziwazi. sasa unafiki ni upi kujifanya hakupingwa kwa sababu ya dini yake au kueleza kile alichokiona kwa macho yake?
ukiwa mpumbavu ni shida sana.
tena siku moja akihojiwa kwenye media alieleza jinsi alivyofanya maendeleo makubwa kwenye sehemu ya watu waliokuwa imani tofauti naye kwa sababu walikuwa wote pamoja lakini baada ya sumu ya akina slaa matokeo yake yalikuwa hayo. we all know. anyway, tukutane oktoba.

Na hapo ndipo alipoanza kuonekana zitto mchawi na mnafiq alafu watu wanaleta mihemko juu ya zzk bila kujua chanzo ni nini.
 
Zitto alieleza jinsi alivyopingwa na wapiga kura wake ambao hawakuwa wadini yake. na walimuambia waziwazi. sasa unafiki ni upi kujifanya hakupingwa kwa sababu ya dini yake au kueleza kile alichokiona kwa macho yake?
ukiwa mpumbavu ni shida sana. siku moja akihojiwa kwenye media alieleza jinsi alivyofanya maendeleo makubwa kwenye sehemu ya watu waliokuwa imani tofauti naye kwa sababu walikuwa wote pamoja lakini baada ya sumu ya akina slaa matokeo yake yalikuwa hayo. we all know. anyway, tukutane oktoba.

Roho inauma sana kiongozi kuona watu wanavyohemka bila ya kujua ni nini kipo nyuma ya pazia chadema walitumia sera ya udini 2010 kitu ambacho kikwete hakua na jinsi kukimbilia kwa ndugu zake waislam kuomba nusra na ndio maana Lipumba alikubali kumsaidia sababu tu ni dini moja. Na baada ya kushindwa chaguzi wakaanza kuwatenga watu kwa kusema wasaliti na ccm b kitu ambacho wengi wetu tunakijua sasa siasa ya namna hii kweli ndio ituletee ukombozi?
 
mkuu nakubaliana na wewe ila hilo la Prof. Lipumba kumsaidia Kikwete sidhani kama ni kweli. najua hii story uliipata kwenye video ya Msikiti wa Idrisa wakati alipokaribishwa na Sheikh Basaleh, lakini kiukweli kwenye hadhira kama ile nadhani Prof. Lipumba aliangalia ni nini cha kuongea kwenye ile hadhira. Nilikuwepo Tanzania 2010 na niliona kilichotokea. Anyway, that is Tanzania Politics.
 
Back
Top Bottom