Wewe ni nani kwani?
kwahiyo unavyosema tena kwa kusisitiza kuwa wakutafute ndiyo kusema kuwa "utakuwa unawatengea nonino yako" wakichomeka wanapona?
Mungu wangu
Mganga toka Sumbawanga... Tehe tehe
Hahahahaaaaaaa
Changamkia hiyo mambo aise. Au supu ya pweza inakutosha weye?
Changamkia hiyo mambo aise. Au supu ya pweza inakutosha weye?
kwanini umesoma huu uzi auoni hapo ni uzi Dume huu...!!
Mganga toka Sumbawanga... Tehe tehe