Nguvu za kiume

Akili mtu wangu, jamaa mtaani huko amekaa ameona fursa ya wajinga kutaka nguvu ambazo tyr wanazo, akaona awaletee alkasusu ili apige pesa za wajinga.
Hapo kwa alkasusi nakupinga...huo mzigo ni wa kwel ipa endapo unakutana na anaetengeneza og kabisa
 
Hizo ni dawa za tumbo sio dawa za nguvu za kiume. Tangu lini alkhasusi ikatibu nguvu za kiume?. Mcheki Dr khamis zephania mambo yatakuwa shwari
Nipe namba yake chapu
 
Hapo kwa alkasusi nakupinga...huo mzigo ni wa kwel ipa endapo unakutana na anaetengeneza og kabisa
Sio mbaya ukiwa mteja wa jamaa,

Hizo ishu kuanzia nguvu za kiume mpaka hayo mambo ya alkasusu, ni mindset tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…