Nguvu za kiroho za mwanamke

Nguvu za kiroho za mwanamke

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,735
Reaction score
4,933
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8/6/2021 natamani tujifunze kwa kiasi juu ya nguvu za kiroho za mwanamke. Nina uhakika lipo jambo kubwa litakaloeleweka kwa namna tofauti kabisa na ilivyozoeleka.

Dunia inatawaliwa na nguvu katika ulimwengu wa roho inayojidhihirisha katika mawanda tofauti tofauti katika ulimwengu wa mwili. Leo tunaangalia kiasi juu ya nguvu za kiroho za Mwanamke. Karibu tujifunze pamoja.

Mwanamke ni kiumbe aliyejaliwa nguvu ambazo zimeungamanishwa moja kwa moja na Dunia "women spiritual power is directly connected to earth".Ukisoma visasili na visasuli vingi utaona mnavyoonesha muunganiko wa karibu kati ya nguvu za Mwanamke na ardhi.

Mwanamke anaweza ana uwezo mkubwa wa kuisikiliza ardhi na kuielewa kutokana na muunganiko wa nguvu zake ulioshikamana na ardhi. Elimu ya nguvu za kiroho inaonesha nguvu hizi huanzia juu kuja utosi na kushuka chini. Kwa Mwanamke nguvu hizi kushuka na kushikamana na ardhi "earth" huku za mwanaume hushuka na kurudi tena juu.

Rejea msemo wa kiingereza "mother earth" jiulize ni kwa nini neno hilo. Dunia inahesabika kama Mama( mwanamke) kutokana kuwa na nguvu zenye tabia kama nguvu za kiroho za Mwanamke. Baadhi ya nguvu za Mwanamke ni:

1.Nguvu za kulisha "nourishment power". Mwanamke kupitia wezo uliojaliwa wa kunyonyesha breastfeeding tunaona anavyowalisha wanadamu wengine kupitia unyonyeshaji. Unaweza ukachukulia kawaida tendo la kunyonyesha lakini ukiangalia kwa undani kuna nguvu za kipekee za kiroho zinazotenda kazi katika tendo hilo. Ukiiangalia na Dunia iliyopewa jina la "mother earth" utaona kuwa Dunia nayo inalisha wakazi wake kupitia nguvu ya pekee ya kiroho inayoruhusu uzalishaji wa vyakula.

Ulimwengu wa roho haubahatishi katika kuonesha uhusiano wake na nguvu nyingine. Ulishawahi kukutana na Wanawake wanaokula udongo " soiling or earth" na kujiuliza ni kwa nini ukiachilia majibu ya ukosefu wa madini?. Hapa nieleweke kuwa sayansi inatoa majibu ya baadhi ya maswali mengi lakini haina majibu ya maswali ya chanzo kutokana na kuwa ndani ya mipaka ya sheria za asili na sheria
2. Nguvu za uhusiano wa karibu na uhai. Mwili wa Mwanamke unatawaliwa na nguvu za uhai kwa namna ya pekee na karibu zaidi na hivyo kumfanya Mwanamke kuwa karibu zaidi na mfumo wa nguvu wa Dunia.

3. Mwanamke anaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja. Ukaribu uliopo kati yamwanamke na mfumo wa nguvu wa Dunia unamuwezesha kuwa na sifa ya "multitask" jambo ambalo linaonekana kama kawaida yao ila ni zao la nguvu za kiroho zinazojidhihirisha katika ulimwengu wa vitu.


images (2).jpeg
IMG-20210306-WA0005.jpg
download.jpeg
images.jpeg
images (1).jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20210306-165703_Chrome.jpg
    Screenshot_20210306-165703_Chrome.jpg
    126.7 KB · Views: 9
Inasemekana wanawake wana center of gravity na wanaume hawana. Yaani kuweza ku balance. Hiyo video hapo chini inaonesha, natamani kika mwanaume humu ahakiki kuwa kweli hana center of gravity au ni mazoezi tuu...!?




Wanaume wa JF mnaweza kufanya hili jaribio...!??

Women are blessed.

Happy Women’s Day 💋.
 
Kama kuna mahali nimeandika nguvu za kiroho za Mwanamke zimeungamanishwa moja kwa moja na Dunia "earth".
 
Inasemekana wanawake wana center of gravity na wanaume hawana. Yaani kuweza ku balance. Hiyo video hapo chini inaonesha, natamani kika mwanaume humu ahakiki kuwa kweli hana center of gravity au ni mazoezi tuu...!?

View attachment 1718454


Wanaume wa JF mnaweza kufanya hili jaribio...!??

Women are blessed.

Happy Women’s Day 💋.
Wow wow..! Tuna nguvu nyingi sana ambazo ni za kiroho pia i lov this
 
Bora ueleze wewe aise..kuna nyumba zingine mwanamke akiondoka kila kitu kinalala hata ambavyo ni vya kawaida vinayumba, asante kwa kutupa utukufu huo....we are blessed
Ila nyie wanawake Kuna kipindi mnakua na dharau sana. Nakumbuka miaka Ile ya mzee ruksa nilikua nakaa Mikocheni, na ndio Mikocheni ilikua inaanza kujengeka kipindi kile. Jirani yetu alikua mtu na mkewe nao wamejenga nyumba yao. Walikua na garden zuri tu.

Kuna siku wameajiri gardener. Siku moja jumamosi asubuhi mama akatoka amevalia night dress (kipindi hicho kulikua na night dress na under skirt nadhani siku hizi hazivaliwi Tena) okay. Sasa huyu mama alikua anainama akitifuatifua matuta wakati anamuelekeza dogo. Dogo baada ya kuona ule uhondo bakora yake ilisimama kupita haya maelezo.

Mama akawa anamcheki dogo na dogo Wala alikua hasikii anavyoelekezwa (nadhani Kuna ukweli kwamba bakora inaposimama kupita maelezo wanaume akili zinapotea) mama alivyoona dogo ameteseka vya kutosha alimuuliza dogo. Hiyo Ni Nini? Yaani unataka kunibaka? Huna kazi.
 
Ila nyie wanawake Kuna kipindi mnakua na dharau sana. Nakumbuka miaka Ile ya mzee ruksa nilikua nakaa Mikocheni, na ndio Mikocheni ilikua inaanza kujengeka kipindi kile. Jirani yetu alikua mtu na mkewe nao wamejenga nyumba yao. Walikua na garden zuri tu. Kuna siku wameajiri gardener. Siku moja jumamosi asubuhi mama akatoka amevalia night dress (kipindi hicho kulikua na night dress na under skirt nadhani siku hizi hazivaliwi Tena) okay. Sasa huyu mama alikua anainama akitifuatifua matuta wakati anamuelekeza dogo. Dogo baada ya kuona ule uhondo bakora yake ilisimama kupita haya maelezo. Mama akawa anamcheki dogo na dogo Wala alikua hasikii anavyoelekezwa (nadhani Kuna ukweli kwamba bakora inaposimama kupita maelezo wanaume akili zinapotea) mama alivyoona dogo ameteseka vya kutosha alimuuliza dogo. Hiyo Ni Nini? Yaani unataka kunibaka? Huna kazi.
Hahahahhaa wewe kila comment yako mm nachekaga tu .sasa kwann asiibane ilale unamuonesha bos wazi wazi?
 
Kuna mahali katika kitabu cha vitabu pameandikwa uzao wa Mwanamke utapondwa kisigino na nyoka lakini wenyewe utapondwa kichwa......

Kwa nini kisigino?
Kwa nini kichwa?
 
Makutano ya nguvu katika mwili wa Mwanadamu"chakras" yanaonesha nguvu zinazopatikana katika matiti ya Mwanamke huzalisha lishe Duniani...."secret substance that heal the earth.
Pia kuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya tumbo la uzazi na na center of the universe..." centre of creation...
 
Makutano ya nguvu katika mwili wa Mwanadamu"chakras" yanaonesha nguvu zinazopatikana katika matiti ya Mwanamke huzalisha lishe Duniani...."secret substance that heal the earth.
Pia kuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya tumbo la uzazi na na center of the universe..." centre of creation...
Very precise but not accurate
 
Back
Top Bottom