MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 16,105
- 40,816
Asili ya mwanamke ni mtu asiye na nguvu.Habari wana JF
Kaitika kuishi kwangu kote na pita pita zangu zote sijawahi kuona nguvu za kike zikiwa ni jambo la kujadiliwa au tatizo ambalo linatafutiwa ufumbuzi. Kimsingi wapo wanawake ambao hawana au wana upungufu wa nguvu za kike, hivyo basi kuwafanya wasiweze kuwa na wanaume au kuchukia tendo pendwa (ngono). Kukosa au upungufu wa nguvu za kike unaweza ukawa ni tatizo la kuzaliwa (maumbile) au tatizo la kutengeneza (mfumo na aina ya Maisha wanawake waliyojichagulia). Hivyo basi, mwenye taarifa Zaidi kuhusu hizi nguvu pendwa za kike asisite kutupia maoni yake.
Wana nguvu za kike Mkuu, don't get twistedAsili ya mwanamke ni mtu asiye na nguvu.
Hivyo kama hana nguvu hapo itakuwa ndo yupo katika asili yake wala haitajii dawa.
Kusema nguvu za kike ni kulazimisha tu.
Mwanamke ni mpokeaji wala haitajii nguvu ni kama mbebwaji tu anatumia nguvu gani kwenye kubebwa....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama zipi nguvu za kike mkuu?Wana nguvu za kike Mkuu, don't get twisted
Dont get twisted maana yake nini?Wana nguvu za kike Mkuu, don't get twisted
Shida ninayoiona kwako unatafakari nguvu hiyo itapimwaje? Ni hivi kama umeshawahi kuwa mtundu ukawa na wadada wa wiwili watatu unaweza ukajua yupi kati ya hao ana ustahimilivu, hali, na ujuzi katika kufanikisha tendo pendwa. Wapo ambao wanahitaji more wood for the fire, maana yake wana nguvu nyingi kuliko nguvu za kawaida za wavulana wengi
Hamna kitu kama hicho bhana.Shida ninayoiona kwako unatafakari nguvu hiyo itapimwaje? Ni hivi kama umeshawahi kuwa mtundu ukawa na wadada wa wiwili watatu unaweza ukajua yupi kati ya hao ana ustahimilivu, hali, na ujuzi katika kufanikisha tendo pendwa. Wapo ambao wanahitaji more wood for the fire, maana yake wana nguvu nyingi kuliko nguvu za kawaida za wavulana wengi
Nafikiri kilichopo hapa ni kuwa kuna baadhi ya wanawake wanakosa hisia za kimapenzi ambapo inasababisha wasipende tendo la ndoa, na dalili zake kubwa ni kutofika kileleni, kutopata hamasa hata pale wanapohamasishwa, na hii inatokana kama ulivyosema na tatizo la kuzaliwa pia mawazo na msongo wa mawazo kutokana na kuumizwa kwenye mambo mbalimbali hasa ya kimahusiano.Habari wana JF
Kaitika kuishi kwangu kote na pita pita zangu zote sijawahi kuona nguvu za kike zikiwa ni jambo la kujadiliwa au tatizo ambalo linatafutiwa ufumbuzi. Kimsingi wapo wanawake ambao hawana au wana upungufu wa nguvu za kike, hivyo basi kuwafanya wasiweze kuwa na wanaume au kuchukia tendo pendwa (ngono). Kukosa au upungufu wa nguvu za kike unaweza ukawa ni tatizo la kuzaliwa (maumbile) au tatizo la kutengeneza (mfumo na aina ya Maisha wanawake waliyojichagulia). Hivyo basi, mwenye taarifa Zaidi kuhusu hizi nguvu pendwa za kike asisite kutupia maoni yake.
Unajua wengu wanatafsiri nguvu za kike kwa kulinganisha na nguvu za kiume, hizi ni jinsia mbili kila moja ina nguvu zakeNafikiri kilichopo hapa ni kuwa kuna baadhi ya wanawake wanakosa hisia za kimapenzi ambapo inasababisha wasipende tendo la ndoa, na dalili zake kubwa ni kutofika kileleni, kutopata hamasa hata pale wanapohamasishwa, na hii inatokana kama ulivyosema na tatizo la kuzaliwa pia mawazo na msongo wa mawazo kutokana na kuumizwa kwenye mambo mbalimbali hasa ya kimahusiano.
Bado haujagusa kunakondiko, kuna ile nguvu fulani hivi sisi wanaume tunaijua, ile inayosababisha mwanaume kuchagua mwanamke mmoja kati ya wengi wenye utamu uanaofananaHivi nguvu za kike ndo pumzi😩😩😩Au ndo kutofika.....au kuchelewa kupata moto injini...au kukata moto mapema🤔🤔....au kitofeel raha...
mkiwa mnatafuta soln mtaniambiaga...acha sie wengj e tuhangaike na mengineyo
Bado haujagusa kunakondiko, kuna ile nguvu fulani hivi sisi wanaume tunaijua, ile inayosababisha mwanaume kuchagua mwanamke mmoja kati ya wengi wenye utamu uanaofanana
Mvuto? hapana, inataka kufanana na bidii, juhudi, ubunifu hivi na kujituma lakini ile package nzima fulani hivi, yaani she dont learn in it from school, wapo wadada wanazo hizo nguvu za kikeunamanisha mwenye mvuto ndo ana ngv za kike??duh
Mvuto? hapana, inataka kufanana na bidii, juhudi, ubunifu hivi na kujituma lakini ile package nzima fulani hivi, yaani she dont learn in it from school, wapo wadada wanazo hizo nguvu za kike
Ngoja tumuulize Jacq Mengi, nadhani kampa FORGET ME NOT moja mzee kapagawa, just imagine yule mzee kakwepa mishale mingapi mpaka umri ule?ohhhoo...!bas wapewe sifa tu kwakwel..watuwakilishe wenzao vzr
Huuuhhh libidomega mixFemale libido