Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Nafikiri sasa somo limeanza kueleweka kama sio kuwaingia akilini nyinyi mnaofurahia uheshimiwa mliopiga magoti kwetu mkiomba ridhaa, katika maisha huwezi kuficha vitu vifuatavyo:=. 1.Ugonjwa 2.Kifo 3.Vita 4.NJAA 5.Ujinga 6.Udhaifu 7.uhodari/ushujaa 8.Hisia(upendo, huzuni, furaha, ushabiki) 9.UKAME 10.Tetemeko. 11.Kimbunga/Dhoruba
12.Ajari. 13.Mafuriko - Ogopeni sana vitu ambavyo hutokea naturally, kamwe huwez kuwa binadamu, tena ambaye umezaliwa na mwanamke, ukaamua kuficha uhalisia.
Ipo siku utainama chini huku ukipiga kelele na yowe za kuomba msaada juu ya upofu wako wa kulewa Madaraka
Kwa sababu lazima vikuumbie tu kwa kusababisha vifo nilishangaa sana kuona watu wazima, wakikataa uhalisia wa mambo yanayo onekana na kuwaaminisha watu ni mambo ya kufikirika na porojo za wanasiasa,
hivi vitu sio kama bunge, katiba, tume, vyombo vya habari, uhuru wa kujieleza ambavyo unaweza kuweka mfukoni mwako na kwenda navyo unakotaka kwa sababu ya ukuu wako njaa haigopi Bunduki wala magari ya washa washa na usikute njaa imo ndani yao
Majanga hayo sio maoga kabisa kama wabunge waliogopa mamlaka yako na kusahau sisi tunahitaji faraja tunaposikia sauti zao zinapotoa mwangwi zikitutetea wakaamua kukubali kukaa kizani kama vile wanajidili mambo ya familia yao.
lazima ujue asili sio sawa na artificial, hata kama ungelazimisha haziwezi kuwa sawa, labda kimtazamo, huwez zuia haya kwa njia ya matamko, hakika tutashuhudia mengi!