The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,915
- 19,125
Hakika nimekubali kua vyombo vya habari vina nguvu kushinda kitu chochote. Vyombo vya habari vikiwa upande wako basi jua wewe utakua maarufu na utasemewa mema siku zote za maisha yako hata kama unafanya mabaya.
Mfano mimi sioni upekee wa Mohamed Ali katika masumbwi, naona alikua wa kawaida hata kuliko kina Tyson, kina Linox na wengine.
Vile vile sioni upekee wa Pele katika soka zaidi ya kina Ronaldo, Gaucho au Messi.
Lakini kwa nguvu ya media ambayo imekua upande wao basi imeonekana kana kwamba watu hao hakuna mfano wake Duniani, Simaanishi hawakua wazuri ila hawakua katika kiwango ambacho media inataka kutuaminisha. Hata ukiangalia video za michezo yao na ukilinganisha na wachezaji wa sasa aa michezo hiyo hakuna upekee huo kwao.
Najua Ali alikuzwa sana na media baada ya kuungana na nchi yake kuipinga urusi kwenye vita baridi maana aliwahi kuja Tanzania kumshawishi Mwl tusihudhurie olimpiki urusi.
Angalia nguvu ya vyombo vya habari, waislam wanalia na nguvu ya media,media ikiwa kinyume na wewe hata ufanye jema lipi hutaeleweka, media ikiwa pamoja na wewe hata kama wewe ni mwenye dhambi utakuzwa kama malaika.
Chezea vitu vyote lakini achana na media.