Nguvu ya unadhifu wa mtu

Kama u-smart wako unakuingizia pesa sawa...kama ni prerequisite ya kazi yako mfano lawyers sawa. Otherwise, I wouldnt, and as a programmer I dont give that a priority.
ISO M.CodD Sometimes i do think that it just comes out as a trait to some people, sidhani kama we uko hovyo hovyo kwa sababu tu eti ni programmer
 
Last edited by a moderator:
Ni mtu avaae mavazi na kuacha sehemu ya makalio yake nje.

Jina tu linaonyesha wewe ndo wale wa miondoko ya kudunda dunda

Kama u-smart wako unakuingizia pesa sawa...kama ni prerequisite ya kazi yako mfano lawyers sawa. Otherwise, I wouldnt, and as a programmer I dont give that a priority.
Kwa kuongezea pia sharobaro ni yule anayeshinda kwenye kioo muda mrefu kuliko dada ake halafu bado anakula kwao kwa huruma ya salama..
 
Sharobaro ni kijana anayevaa au kupendeza kwa hisani wakati mfukoni hana kitu.
 
Deeboyfrexh, vipi kuhusu kijana ambaye kipato chake (kama ana kazi) au hali ya uchumi ya nyumbani haimruhusu kujiweka vizuri kimavazi ingawa angependa kulifanya hilo, tunamweka kundi gani?
mara nyingi huitwa WAGUMU au NGUMU NYEUSI kumbe msela kakosa tu mshiko
 
Last edited by a moderator:
U-nadhifu unaanzia kichwani, unakuja kwenye tabia, halafu ndio mavazi. Lazima viende pamoja hivyo vigezo.

Kama wanakuita sharobaro, then huo sio u-nadhifu my brother.
 
SHOOyaKIBABE sure si kila mtu anapata nafasi ya kuishi vile atakavyo at some point in life unaweza ukajikuta umekuwa mgumu sio kwa kupenda ila game inakuwa tight mno!
 
Last edited by a moderator:
U-nadhifu unaanzia kichwani, unakuja kwenye tabia, halafu ndio mavazi. Lazima viende pamoja hivyo vigezo.

Kama wanakuita sharobaro, then huo sio u-nadhifu my brother.

Unajua TUPACified nashindwaga kuelewa connection ya usharobaro na mtu kuwa basically smart, im also not good at bragging but briefly upstairs im overwell mkuu
 
Last edited by a moderator:
Sharobaro ni kijana anayevaa au kupendeza kwa hisani wakati mfukoni hana kitu.

Asante mkuu Smart911, At least your comment is making some damn sense...But mbona wapo wale ambao wanapendeza kwa kutumia jasho lao na bado wanakuja kuhusishwa na kundi hili hili la Masharobaro?
 
Last edited by a moderator:

Kuna watu wa aina mbili kijana..kuna wanaofanya vitu kwa kuwa ndivyo vinavyotakiwa kufanyika..kuna wanaovifanya ili waonekana wamevifanya (kutafuta sifa)...huyu wa pili ndo sharobaro

Au ngoja nikupe illustration:
Mtu anayejali na kujua umuhimu wa usafi atakuwa msafi 100% kuanzia underwear/boxer, singlet, sox, viatu, suruali/pensi na shat/t-shirt

Sharobaro ni rahisi kukuta shirt inang'aa kwa usafi, suruali very clean..laikini ukiioona boxer au chupi na singlet unaweza ukatapika..anajua haionekani mbele za watu na kwa kuwa ye ni sifa aitwe msafi bac hataijali
 
Asante mkuu Smart911, At least your comment is making some damn sense...But mbona wapo wale ambao wanapendeza kwa kutumia jasho lao na bado wanakuja kuhusishwa na kundi hili hili la Masharobaro?

Ni kawaida kwa binadamu kuongea. Hujawahi ona mtu anakuomba lifti, unamueleza ukweli huelekei huko, utasikia unaambiwa siku hizi unaringa sana.
 

Well,this is way more clearer Inkhubu nilishawahi kuishi na aina hii ya watu pia enzi za boarding!
 
Last edited by a moderator:
Ni kawaida kwa binadamu kuongea. Hujawahi ona mtu anakuomba lifti, unamueleza ukweli huelekei huko, utasikia unaambiwa siku hizi unaringa sana.

Ni kweli Smart911 nadhani basi itakuwa ni hulka ya watu tu haswa kwa vile wabongo wengi tukogo na wivu wa kijinga
 
Last edited by a moderator:
Tafuta wimbo mimi sio wa bishoo wa jmoo almaarufu mchopanga uusikilize .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…