Nguvu ya umma

Ama kweli!wapi hapo sasa mkuu?Je, bado ni tetesi mpaka sasa...?
 

Leo kijitonyama wamelipua tena na bomu.... ofisi nzima ya kanda kipolice dar wakaamia pale, sasa wanajianda kuweka Tume kuchunguza chanzo isiyoleta majibu na jipya lolote ila pesa zetu zimeliwa basi. kuzuia mambo haya yasitoke kinga hakuna wako bize na chadema tuuuuu

NA WEEE NGOJA TU....
 
wapi hamy d, wap ritz, wap tandale one, wap nape, wapi mwigulu, TOKEN NJE MJIONEE MABADILIKO YA KWELI, NGUVU YA UMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…