Close enough. Ila hawa jamaa hawana wilaya (district) au ndiyo hiyo hiyo.?Tusijekuishia kwenye trousers na pants. Wanazo districts katika mgawanyo wa wawakilishi wa bunge. Kwa mfano Maryland ina districts nane. 1,2,3,4.......
Suala la wizi wa mali za uma Marekani lipo. Ila wakikukamata huchomowi. Hawa wenye scandal za ufisadi ingekuwa Marekani wote wangekuwa jela. Tena wengine wanafungwa vibaya. Mtu na mkewe wote jela.
Hakuna cha kigogo wala mzizi. Gavana au meya kufungwa ni kitu cha kawaida. Kama yule gavana wa Virginia. Jamaa alikuwa top kwenye chama chake. Alikuwa na muelekeo wa kugombea urais. Kaishia Segerea hasikiki tena.
Na hakuna watu kujaa mahakamani oooh hatukubali. Yaani hawa jamaa wanavyosema mahakama inajitegemea sio masihara. Mahakama iko mbali sana na siasa kwa hawa jamaa.
Hapo ni nguvu ya sifuri kivipi? hapo wamezidisha kwa kumi hizo figure, sio kuongeza sifuri, milioni tano ukiongeza sifuri ni milioni tano hiyohiyo,
na hilo cover uliloweka haliendani na topic yako