Nguvu ya sifuri

Muhemko wakulipa Kodi ni mdogo sana..elimu ya iraia haipewi kipaumbele na viongozi wetu..leo NG'os ndo ifanye hivo bado ikiisema/Kuikosoa serkali wanawashtum kua ni Wachochezi.
 
Kwenye indirect tax hawachukui zaidi hiyo ya hiyo mia unayoizungumzia wewe!?!?

Tanzania ni nani siku inaisha bila kutumia Bidhaa ya sokoni!?

Unameweza kupima gharama ya kuikusanya hiyo mia mia!?!?

Hauoni kama unaweza kutumia 500 moja kukusanya 100 moja??

Nguvu ya zero ipo ila sio kiivo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka rambirambi yanakula Mkuu sembuse kodi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump alijisifia kwa jimbo gani alilolitawala!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sisi tunalipa direct taxes na bado tunalipa kodi za counties. Na kuna kuna ada za kuishi mitaani pia. Wazoa snow na wakata majani hulipwa.
 
Sisi tunalipa direct taxes na bado tunalipa kodi za counties. Na kuna kuna ada za kuishi mitaani pia. Wazoa snow na wakata majani hulipwa.
Kuhusu gharama ya kukusanya pesa Simba na Yanga hazifi tokea 19 kweusi zinakusanyaje pesa?
 
Tabu ya mswahili akisikia kukusanya hela anafikiria zitaibiwa ngapi. Wizi upo popote. Wenzetu wakipanga wanaweka na allowance ya wizi.
 
Wakulaumiwa mpinzani au chama kilichoshika hatamu kwa miaka zaidi ya 50!?

Mpaka leo kinalia lia tu na ACCACCIA!?!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani wapinzani wakishika watabadilisha nini?

Hukuona Lissu akimlaani Magufuli hakununua chakula nchi ina njaa. Nilifikiri angehimiza watu walime shamba la mahindi kuanzia Ruvu mpaka Mikese Morogoro.
 
Kwani wapinzani wakishika watabadilisha nini?

Hukuona Lissu akimlaani Magufuli hakununua chakula nchi ina njaa. Nilifikiri angehimiza watu walime shamba la mahindi kuanzia Ruvu mpaka Mikese Morogoro.
Sasa wakulaumiwa n nani kati ya alishika Dora akashindwa kufanya na ambaye hajashika Dora kabsa!!??

Kulikuwa tyr kuna janga la ukame na njaa inawapiga watu hiyo nguvu ya kulima ingetoka wapi!?

Miaka yote kilimo hakikuzingatiwa ,ndo unataka lisu akihamasishe tyr kwenye baa la njaa!?

Serikali inapoona haiwezi kuyafanya hayo kwann isiache ung'anganizi wa madaraka ikaachia watu wengine wakatawala kuliko kumsubilia mpinzani afanye wakati yenyewe ndo yenye hatamu!?!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa unafikiri hawa magavana wanaojisifia mafanikio katika majimbo yao kwenye kampeni za uraisi wote ni wa chama tawala?
 
Suala la wizi wa mali za uma Marekani lipo. Ila wakikukamata huchomowi. Hawa wenye scandal za ufisadi ingekuwa Marekani wote wangekuwa jela. Tena wengine wanafungwa vibaya. Mtu na mkewe wote jela.

Hakuna cha kigogo wala mzizi. Gavana au meya kufungwa ni kitu cha kawaida. Kama yule gavana wa Virginia. Jamaa alikuwa top kwenye chama chake. Alikuwa na muelekeo wa kugombea urais. Kaishia Segerea hasikiki tena.
 
tarafa sio county.
Wilaya ndio county

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hakuna watu kujaa mahakamani oooh hatukubali. Yaani hawa jamaa wanavyosema mahakama inajitegemea sio masihara. Mahakama iko mbali sana na siasa kwa hawa jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…