Nguvu ya Gen Z

Nguvu ya Gen Z

ntakuwa tofauti kidogo,

curfew sio mafanikio hata kidogo... maana target ni kuiondoa serikali dhalimu iliyo madarakani..siku hilo likifanikiwa ndio ntasema okay Gen z wamefanikiwa.
 
Kama gen z wana nguvu si waachie wanasiasa wa upinzani kama kina tundu lissu watoke korokoroni? Maana si tishio tena, tishio jipya ni gen z. Wajuba hawa ni wa moto balaa!
 
ntakuwa tofauti kidogo,

curfew sio mafanikio hata kidogo... maana target ni kuiondoa serikali dhalimu iliyo madarakani..siku hilo likifanikiwa ndio ntasema okay Gen z wamefanikiwa.
Mabadiliko yanaenda kwa hatua. Haiwezekani kutoka kuitwa maiti halafu ghafla tu walete mabadiliko. Kila hatua eatajifunza wamekosea wapi mpaka itafika siku watakuja na mkakati uliokamilika na kufamikisha lengo
 
Naamu tuendelee kuwatesa hivihivi mdogomdogo mwisho watachoka kuchomwa na jua barabarani watamfukuza mama yao.
 
Mabadiliko yanaenda kwa hatua. Haiwezekani kutoka kuitwa maiti halafu ghafla tu walete mabadiliko. Kila hatua eatajifunza wamekosea wapi mpaka itafika siku watakuja na mkakati uliokamilika na kufamikisha lengo
Sawa sawa
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Back
Top Bottom