Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Kuna haja jamiiforum waanzishe utaratibu wa kumblock mtu kama ilivyo mitandao mingine ya kijamii maana kuna watu wanakera mpka basi
 
Kama kila kitu kinachoinvolve probability duniani ni kamari, basi hakuna biashara ambayo itasalimika. Katika naomba usijitoe akili. Unless kama unaongelea probability and probability yenyewe ukawa huijui....
mkuu sorry jana tulitofautiana kimtazamo juu ya hii insu,hapo hapo baada ya jibu lako nikaikumbuka kauli ya Mwl wangu chuoni alipokuwa antufundisha mambo ya monetary economics kuwa hakuna bishara duniani ambayo unaweza kuifanya bila kudhurumu mtu ila ni forex pekee ndipo leo nilipokuwa ofisini niliamua kwenda chimbo kidogo kuhusiana na hii kitu kwa kweli nikiri forex sio kamali ila ukitazama kwa juu juu pasipo kuwa na knowledge na concepts za kiuchumi unaweza kusema ni kamari but ni vitu viwili tofauti
 
Haina shida mkuu ni katika kujifunza.... Uwe na amani moyoni mwako....
 
The Bold kaanzisha uzi wake kwa ajili ya kuelezea vitu vizuri tu lakini watu mmefanya sehemu ya kufanyia debate.. Mnajaza tu uzi bila sababu,,
Wewe kama unaamini forex ni kamari au utapeli kaa pembeni hamna aliekuja kwako na panga kwamba uifanye au umpe pesa ya kutrade. Na anaeamini forex ni kitu sahihi kwake pia afanye.
Mwisho wa siku kila mtu afanye linalompendeza na analoliweza wewe lima tikiti mimi nifanye forex,, wewe uza bidhaa mimi niajiliwe hivyo yani TUSIPANGIANE CHA KUFANYA.
 
Daah, kila siku napita hapa kuangalia kama the bold amepost muendelezo nakuta hola, kulikoni?
 
Hivi wewe ukinunua gunia la mahindi kipindi bei ipo chini then uuze baadae kidogo bei ikipanda, hiyo ni kamari pia ?
Kamari haina uzalishaji mali/huduma, ninapouza mahindi ni kwamba nimetoa huduma ya ugavi, regardless nimepata hasara/ faida, hivyo si kamari.
 
Kamari haina uzalishaji mali/huduma, ninapouza mahindi ni kwamba nimetoa huduma ya ugavi, regardless nimepata hasara/ faida, hivyo si kamari.

Watu wakipata pesa kwa kamari kuiba au kupola shida yako nin Forex naona inakufanya kipere kikuwashe mwagia mafuta ya taa kitaacha kukuwasha
 
jamani msimbishie francis da don huyo ana akili sana na amegundua pasipo shaka kuwa forex trading ni Kamari. yaani jamaa ni kichwa hatari. msiwe mnambishia anajua mambo huyo mweshimiwa kupita maelezo. IQ yake ni hatari

big down francis da don
:D:DYana nikishamuona mtu anayemsifia mtu na kuweka neno IQ namuona limbukeni sana
 
Back
Top Bottom