Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Inaonekana watu wengi wanataman kupata picha ni nini ,inakuaje wanahisi Kama story za jinamizi tu , Ila sasa shida inakuja waanaoielezea forex pia hawaijui kwahiyo wanaelezea forex ya historia bado mtu anabaki na maswali yake ndio nini hiyo forex . huwezi kuweza kuelezea forex kwa kusoma vitabu vya kele . Ili uelewe ni nini hiyo forex anaelezea awe trader wa hiyo forex yenyewe ila kwa kutumia vitabu utaelezea historia tu sio forex.
 
Forex sio kubet ni taaluma, tatizo wewe ulivaa nguo za dokta ukiwa ujasomea huo udokta unazan utaweza kutibu?, Hiyo moja pili huko ulipokuwepo ambako unasema sio betting unaweza tupa mrejesho hali yake kwa sasa juu ya hizo coin zako?
Wapi nimeandika forex ni kubet?? kwanza huu uzi wa mwaka gani halafu nafanya forex mpaka leo sijui hiyo kubet niliandika wapi.
 
Volatility.jpg
 
Back
Top Bottom