Nguvu vs akili

Nguvu vs akili

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,819
Reaction score
3,088
Mmoja anatumia nguvu mia akili kisoda mwingine anatumia nguvu kisoda akili mia

Israel na Marekani anatumia akili kubwa na nguvu kidogo matokeo makubwa.

Mpaka sasa vifo vingi ni Iran lakini mashambulizi mengi ni Iran pia ni kama anajipiga mwenyewe hivi yaani anaua mbu kwa nyundo kubwa kidoleni kwake
 
Back
Top Bottom