kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Feb 21, 2013 #21 King'asti said: Afterlife nikizaliwa farasi sijui ntafanyaje? Click to expand... Nitakubadilisha na bata nikukule wakati wa sikukuu
King'asti said: Afterlife nikizaliwa farasi sijui ntafanyaje? Click to expand... Nitakubadilisha na bata nikukule wakati wa sikukuu
Qulfayaqul JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 480 Reaction score 84 Feb 21, 2013 #22 utii wa sheria bila shuruuuuti, kama namuona kamanda Kova, anaupenda sana msemo huu. ila Utii ukizidi sana bila ya kuhoji unatii nn na kwa sababu gani ni utumwa, unatakiwa utii kitu ambacho ni wajibu kwako kufanya na sio kila kitu.
utii wa sheria bila shuruuuuti, kama namuona kamanda Kova, anaupenda sana msemo huu. ila Utii ukizidi sana bila ya kuhoji unatii nn na kwa sababu gani ni utumwa, unatakiwa utii kitu ambacho ni wajibu kwako kufanya na sio kila kitu.
eddiom Member Joined Oct 4, 2010 Posts 57 Reaction score 15 Feb 21, 2013 #23 Nafikiri humjui farasi wewe... Hapo kafata amri tu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,170 Reaction score 111,097 Feb 21, 2013 #24 Hahahah umefikiria mbali kweli...nadhani utatumika kukokota zile carts wapandazo wafalme... King'asti said: Afterlife nikizaliwa farasi sijui ntafanyaje? Click to expand...
Hahahah umefikiria mbali kweli...nadhani utatumika kukokota zile carts wapandazo wafalme... King'asti said: Afterlife nikizaliwa farasi sijui ntafanyaje? Click to expand...
Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Feb 21, 2013 #25 watu8 said: Kuna wanyama wameumbwa na kitu inaitwa "utii", farasi na punda ni aina ya jamii hiyo ndio maana wanafundishika. Click to expand... bila shuruti......cdm hatuihitaji hii.....
watu8 said: Kuna wanyama wameumbwa na kitu inaitwa "utii", farasi na punda ni aina ya jamii hiyo ndio maana wanafundishika. Click to expand... bila shuruti......cdm hatuihitaji hii.....
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Feb 21, 2013 #26 asigwa said: Kipi bora?? Uwe na nguvu nyingi akili kidogo au akili nyingi nguvu kidogo?? Click to expand... Anaogopa kuvunja amani. Tumezoelea mwenye kudai haki kubatizwa mvunjifu wa amani. Amani kwetu ni kuwa kama alivyo huyo farasi.
asigwa said: Kipi bora?? Uwe na nguvu nyingi akili kidogo au akili nyingi nguvu kidogo?? Click to expand... Anaogopa kuvunja amani. Tumezoelea mwenye kudai haki kubatizwa mvunjifu wa amani. Amani kwetu ni kuwa kama alivyo huyo farasi.
S Seif al Islam JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 2,156 Reaction score 640 Feb 21, 2013 #27 Kama waafrika.
mnyanyembehalisi Member Joined Dec 12, 2012 Posts 40 Reaction score 2 Feb 21, 2013 #28 taamu said: akiwa jike atapandiwa dabo dabo. Click to expand... huna maana atapandiwa libolo fc
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,918 Feb 21, 2013 #29 mnyanyembehalisi said: huna maana atapandiwa libolo fc Click to expand... ndio lakini dabo dabo ya mgongoni kama farasi original na ile ingine
mnyanyembehalisi said: huna maana atapandiwa libolo fc Click to expand... ndio lakini dabo dabo ya mgongoni kama farasi original na ile ingine