Nguvu na maajabu ya uchawi

Kwa nin wachawi wanashindwa kuingia bank na kujichukulia pesa?
Rabda tu niseme wachawi wanaenda Bank as usual, ukiwa na 3 eye utaona biashara zao zikiendelea na wakienda bank ku weka nakutoa pesa, kuchukuwa mikopo n.k, Dunia ina pande mbili...
 
Kwenye hilo kabuli hakuna uchawi wowote, kinachotokea hapo ni kwamba kuna baadhi ya binadamu mifupa yao hua na aina Fulani ya nishati (******) hususani ndugu zetu wenye albinism japo sio wote.

Nishati hii ushabihiana nguvu na mercury nyekundu, watu wa design hii au wenye kalama hiyo ata wakipanda magari sometimes yanazima kabisa kutokana na namna wanavyoua nguvu za ile energy iliyopo kwenye either petrol au diesel inategemeana na gari husika. Na ata akishuka yeye itachukua muda gari kuwaka au isiwake kabisa mpaka watakapo toa hayo mafuta na kuweka mengine.

Anyway! Ni elimu pana kidogo na sio rahisi nikaeleweka.
 
Sio kweli
 
Hii ndio shida ya kutokutembea, unazaliwa Dar es salaam unazeekea dar es salaam lazima useme hakuna uchawi.
Mkuu mbona Dar yenyewe ni Makao makuu ya uchawi yaani ile mikoa iliyokua ikivuma kwa uchawi sasa haifui Dafu Dar es salaam, Dar pamoto sasa vgagula wote unaowajua wewe wapo ktk hili jiji....
 
Mamaee na bado watu masikini

Unajua nini....biashara ni nyota kama huna nyota ya biashara hata uhangaike vp hutoboi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…