Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Jinsi ulivyo sasa ni matokeo ya fikra zako juu yako,jiulize unafikiria nini juu yako,juu ya familia yako, uchumi wako na biashara yako.
Fikra ni jumla ya vitu unavyofikiria kichwani kwako vinaweza kuwa vizuri au vibaya, hasi au chanya.
Endelea zaidi, => Nguvu na fikra zako katika kubadilisha maisha yako | Fikra Pevu