Nguvu kazi ya Taifa inapotea

Huyu anaweza kuwa mwanachama wa chama gani?:heh:
 
CCM si ndio waongaji wakubwa kashaongwa viroba
 
...na hapo anategemea serikali imkomboe kimawazo
 
Huku kwetu tunaitaga maji ya uzima,ukinywa unapa uzima, karibuni tupate jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…